Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Anafanya hip hop katuni, ni msanii mzuri akiamua kuwa serious ila kwa huu utoto wa kufanya ngoma zenye life span kama ya condominium moja kwa kila tendo atabaki ana flow tu ili kuremain relevant ila hawezi uza album kama hiphop artist wengine…
Aache ujinga kabla star light yake haijazima, kqma hawezi kuandika anunue idea au mashairi maana kuchana naweza!!
Hii ndio mnaitaga mistari kwenzi sio😅" Bubu anaitwa Maneno " 😂😂
"Nakunywa Serengeti Ngorongoro"
"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"
Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
Afande sela alishasema zamaaani kwqmba "mistari haina vina"useless lyrics " hazina maana , no consciousness at all , ndomana madogo wasingeli wanawakimbiza
Hiyo mistari, inayoitwa taarifa ya habari oyaa ZIMAAAKaka yao Stamina, nachana mpaka George anarudi Bush.
Anajua kuandika kiasi fulani.Kwanye hiyo ngoma ya champion kuna sehemu anakwambia
"Tumeishi na watu wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku"
Anajua kuandika kiasi fulani.
Kisha nikamchota mtama kuinuka akasepa na njiaMwenzako na Songa Mzee "nikarusha akakwepa nkarusha akakwepa nkaokota Jiwe huyu leo lazima atabweka"
Stamina ndio mwalimu wao na anajua sana uzuri wa stamina mziki wake unabadilika.Mwamba kwenye wordplay hapa Bongo hana wa kushindana naye ni kipaji hata rappers wa mbele hufanya hii kitu sema kibongobongo kama watu wanamkataa Kontawa
Miaka ya nyuma Stamina naye alikuwa na hizi pigo siku hizi kaacha
Wordplay makes lyrics more interesting and memorable
Kuna Dogo anaitwa Bando MC anahizo mambo pia Tena yeye amezidiMwamba kwenye wordplay hapa Bongo hana wa kushindana naye ni kipaji hata rappers wa mbele hufanya hii kitu sema kibongobongo kama watu wanamkataa Kontawa
Miaka ya nyuma Stamina naye alikuwa na hizi pigo siku hizi kaacha
Wordplay makes lyrics more interesting and memorable
Hizo ni words play za kawaida sana ambazo hazina viwango fikirishi kihivyo.Mwamba kwenye wordplay hapa Bongo hana wa kushindana naye ni kipaji hata rappers wa mbele hufanya hii kitu sema kibongobongo kama watu wanamkataa Kontawa
Miaka ya nyuma Stamina naye alikuwa na hizi pigo siku hizi kaacha
Wordplay makes lyrics more interesting and memorable