Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
4,817
Reaction score
14,925
Mtu anakusalimia " Mamb"
Anakujibu "Pow"
Anakuuliza "Mzm"
Anaendelea "xaxa uk wp?
"Xipajui"
"Xamahan"
"Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi?


Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho

"Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt?


Wana shida gani kwenye ubongo wao hawa?
 
Halafu kuna hawa wasioweka herufi za mwanzo😃

Nipo apa kwa dada takuja badae..
Mamby my..
Namby my..
Apana mi mzima..

Halafu kuna wale wasiojua pa kuweka H na M
Naenda Mahabara
Nipo Mwimbili
Ni Mwasibu wa pale(mhasibu)

Halafu kuna wale wasiosoma
Hongera mdogo wangu kwa kumaliza Fofoho(form four)
Anaumwa Yuteai(UTI)
Wakanipiga Nyutro sound(Ultra sound).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…