Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
yupo tayari kutunga hadi uongo. siku moja alidai eti Daudi alianza kumiliki BMW tangu anasoma chuo.Akili za huyu jamaa ni zile za kula Bure kutokana na kulamba viatu vya wakubwa,angalia watoto wa Malecela wote kama wanajikomba komba kama huyu jamaa,asamehewe tu ndio ufahamu wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya 2015 We jamaa bila ya kumsifia Sifia makonda ungelikua ushakufa siku nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa hapo umemkula ama umegongea selfie....weka picha ukumwamshia dude tuamn[emoji15] [emoji15]View attachment 566788
- hahahahahaha ukijikomba unapata wabebe kama huyu na wewe jikombe basi ule wabebezzz hahahahahaha pole sana
le Mutuz
yupo tayari kutunga hadi uongo. siku moja alidai eti Daudi alianza kumiliki BMW tangu anasoma chuo.
Sa hapo umemkula ama umegongea selfie....weka picha ukumwamshia dude tuamn[emoji15] [emoji15]
onyesha kwanza hati za viwanja vya Kinyerezi na Mbweni BeachView attachment 566794
- I know hata hii picha ni uongo wewe unayemtumia majina ya bandia ndiye msema kweli au?
le Mutuz
Tangu utoto wangu Baba yangu alinifunza kutafuta vyangu sio kujikomba komba,pole sana kwa kizazi chako na bora ulivyositisha uzazi kwa wale wale uliowaacha kwa mwanamke maana na utu uzima huo ungetuzalia fisadi kiwembeView attachment 566788
- hahahahahaha ukijikomba unapata wabebe kama huyu na wewe jikombe basi ule wabebezzz hahahahahaha pole sana
le Mutuz
Eti mwanasheria hahaha- Kumbe na wewe bila kutukana wanaume usiowajua kwenye mitandao kwa majina bandia ungeshakufa siku nyingi au? hahahahahahahha naomba nikukumbushe wewe na wenzako majiha kama wewe ninamiliki kam;puni ya media so mimi ni kama mwanasheria hope umenielewa **** wewe hahahahahahaha
le Mutuz
onyesha kwanza hati za viwanja vya Kinyerezi na Mbweni Beach
Tangu utoto wangu Baba yangu alinifunza kutafuta vyangu sio kujikomba komba,pole sana kwa kizazi chako na bora ulivyositisha uzazi kwa wale wale uliowaacha kwa mwanamke maana na utu uzima huo ungetuzalia fisadi kiwembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wanaume usiowajua hahaa hivi nawe ni mwanaume?- hahahahaha baba yako alikufundisha kurukia wanaume usiowajua kwenye mitandao lakini akakufundisha kutojikomba? hahahahahaha
le Mutuz
Sijaona mantiki ya kashfa na maneno haya yasiyo ya msingi.. Kama mtu humjui personally unapataje guts za kumzungumzia. Hujui assets zake hujui acc yake inasemaje maisha yake humlipii even airtime! Tuache zungumzia watu na tuheshimu utu wa mtu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mzee Malecela naye anajiproud kuwa ana kijana wake anaitwa le Mutuz?? Shame shame shame.