Mrenda ni moja ya mboga za ukweli,huwezi sema mrenda sio kisa maharage,kitu cha mrenda ndo kimetukuza,hasa naupenda sana ule unaopikwa na maza,ukiwekewa na karanga... hata uje ugali mkubwa kiasi gani,utapita tu mdomonikama.kula maharage ni kujishusha na kula MLENDA kutakuwa nini?
Pumbavu wewe kazi kutegemea wanaume wenzio tu mjini hapa..offer za florenzo hizo unajiachiaaa mtoto wa kiume yani hili lijitu jamani yani hapo kapewa offer basi maneno meeengiii..Hivi florenzo kwanini unaji associate na jitu kama hiliView attachment 566683
- Leo Super breakfast at the Hilton Hotel Masaki, hahahahahaha maisha yanaendelea U know wewe baki namahasira hahahahahaha
le Mutuz
Bora alilizaa tu, maana kama lile bao angepigia pull, au ange withdraw wakati anapizi, yawezekana pangetokea tetemeko kubwa sana au yeye mwenyewe mzee Jonh angepata eiza magonjwa hatarishi kwa afya yake... maana hili toto lake ni shida sana hapa duniani... zee lakini kutwa zima linashindana na vitoto like Lulu Michael... Hapo linajenga sjui online tv, hadi leo haijaanza tu kufanya kazi.... hili zee nouma sana na baada ya hiyo tv kubuma litakuja na purojekiti nyingineHuyu mzee miaka zaid ya 59 lakin mambo yake ni ujinga mtupu , Mzee malecela bora bao la huyu angekojoa tu nje sio kwa utahira huu alio nao
Hizo project unadhan zakwake basi ye anawekwa yu pale mbelembele kama liboya flani hivi..wanaume wenziwe ndio wanamueka mjiniBora alilizaa tu, maana kama lile bao angepigia pull, au ange withdraw wakati anapizi, yawezekana pangetokea tetemeko kubwa sana au yeye mwenyewe mzee Jonh angepata eiza magonjwa hatarishi kwa afya yake... maana hili toto lake ni shida sana hapa duniani... zee lakini kutwa zima linashindana na vitoto like Lulu Michael... Hapo linajenga sjui online tv, hadi leo haijaanza tu kufanya kazi.... hili zee nouma sana na baada ya hiyo tv kubuma litakuja na purojekiti nyingine
Imebidi nicheke kwa sauti..... wewe mhenga ni kiboko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..-View attachment 566688
- hahahaha pole sana mkuu ila maisha yangu ndio haya yanaendelea hayawezi kusimamishwa na binadam mjinga kama wewe bingwa wa kutukana kwa majina ya bandia pole sana hahahahaa ona mbebezzz huyo unaweza hiyo?
le Mutuz
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.
Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
Hahahahahah kwahoyo le mutuz anahisi ubwabwa alokula Billgate ni sawa na wakwake!!!?
Yani Billgate aje afie bongo kwa Kula ubwabwa kitaani tuu kisa anajishusha.
Hiyo Event ilipangwa na chakula kilipikwa kwa protocol za kimataifa chini ya hisani ya ulinzi na usalama wa watu wa marekani wakishirikiana na serikali ya bongo na walinzi binafsi wa The BG the Don.
Tukio hilo siyo kujishusha Bali kushare humanity na watz wa kawaida.
Ndio mana BG alifrahia picha zaidi kuliko Kula.kama Lemutuz anavyoonekana kanogewaaa...
But kujishusha ni kitu kizur...Lemutuz hajakosea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mwili mkubwa akili zake kama sisimizi. Mi nahisigi huyu jamaa ana matatizo ya akili si bure huyu apatiwe msaada.
View attachment 566024
- jana hiyo wakati wewe unalalamika huku sisis tunakula batazzzz na watoto wazuri, wewe shikilia miaka tu ya wanaume usiowajua huku JF hahahahahahaha
le Mutuz
Hizo project unadhan zakwake basi ye anawekwa yu pale mbelembele kama liboya flani hivi..wanaume wenziwe ndio wanamueka mjini
Toka nilipoiona hii picha na kuona maelezo kwamba haya ndio yalikuwa makazi ya marehemu mama yake huyo jamaa huwa namuona limbukeni.
-Ndumilakuwili-
Ila huyu lemutuz ni kituko hata mbele ya hao marafiki zake!
Hili jamaa yaani linatia aibu sana, ndo tatxo ya kuchezea ujana, unakuja zalilika uzeeni...hili zee nouma sana... purojekiti zote za wanaume... lenyewe kutwa nzima kujiweka mbele mbele kama bao la kwanza
View attachment 566734
- tumeshaanza kufunga vifaa vya kisasa kwenye our new Studio, so stay tuned hahahahahaha
le Mutuz