Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tu🙌🙌

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.

Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
 
Nadhani CCM wengi uchawa umewaharibu akili.

Maasai aliyelelewa kwenye nomadic pastoral life, akabahatika kusoma Biochemical engineering, atakuwa ni msomi asiyeijua biashara. Utamlaumu?
 
Back
Top Bottom