Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tu🙌🙌

riziki mafungu saba yapo bandarini
FB_IMG_1686150263738.jpg
 
Yote kwa yote utabuni biashara gan ambayo haipo au haifanywi na yeyote...50k ni ndogo bana labda na ka~utapeli kahusike!!!anyway lakini haya mambo ya kusakama wasomi kuwa hawajitumi yanafanywa na waajiriwa au walofanikiwa tayar ila ukwel njia za fursa zimezibwa
 
Kuna watu ata hiyo elfu 50 hawana, wanakuja mjini na nauli tu, wanaosha magari wanapata zaidi ya elfu 15 kwa siku
Kuna watu kazi yao ni kutumwa tu kwa siku anaingiza zaidi 60,000 mfano kutafuta bidhaa mbalimbali kwa watu wa mkoani, kuwatafutia machimbo, kuhakikisha unafunga mzigo na kuupeleka kwa transporter.
 
Yote kwa yote utabuni biashara gan ambayo haipo au haifanywi na yeyote...50k ni ndogo bana labda na ka~utapeli kahusike!!!anyway lakini haya mambo ya kusakama wasomi kuwa hawajitumi yanafanywa na waajiriwa au walofanikiwa tayar ila ukwel njia za fursa zimezibwa
Shukuruni sana TZ ndio bado kuna malalamiko ya ajira kwa wasomi lakn ukivuka mpaka tu hapo Uganda hakuna ujinga huo, wao kama ulaya hakuna mwenye matumaini ya hata siku moja ataajiriwa na serikali ama ujiajiri au uajiriwe/upewe meza maala uendeshe maisha yako na kila mtu ana uhakika wa kula milo 4, asubuhi, mchana, saa 12 na usiku.Si kushindie chai maharage na chapati.
 
shida ni ku~underrate hawa wasomi kana kwamba waliandaliwa kwa mitaala inayowawezesha kujiajiri....ki ukwel ni baadhi tu wanaweza kupangua gia na kuanza moja,ni ngumu kuanza huu ndio ukwel
 
Back
Top Bottom