Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mmh biashara gani tujuze
Inaweza kuwa ya kawaida kwa kuitaja ila mtu anapata hela ambayo akikuambia utasema ni chai....
Nadhani CCM wengi uchawa umewaharibu akili.Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.
Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Kuchoma MahindiInaweza kuwa ya kawaida kwa kuitaja ila mtu anapata hela ambayo akikuambia utasema ni chai....
Wanaingiza hela sana. Kwa mtaji mdogo mnoKuchoma Mahindi
Kutembeza kahawa na kashata
Kukaanga mihogo
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Shida sisi wasomi hatufanyagi hizi....tunataka frem na mtaji 10m π€£π€£Kuchoma Mahindi
Kutembeza kahawa na kashata
Kukaanga mihogo
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
shauri zakoNawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Kabisa.DSM unaishije Kwa faida ya 10000 , hyo ni faida ya kupata hela ule ili usife ,
Naomba huu uzi asiuone Mpwayungu Village . Walimu watanangwa vibaya mnoSijasoma uzi ila najua tu watatajwa wasomi
Usomi ni kujipandikiza ukilema. FREMU 300,000Γ6=1,800,000 [emoji1787]Bado pesa ya mzigoShida sisi wasomi hatufanyagi hizi....tunataka frem na mtaji 10m [emoji1787][emoji1787]