Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tuπŸ™ŒπŸ™Œ

Mwalimu akinunua vile vipipi vya wanafunzi, mf. Kuna vidonge (aina ya pipi) box 5000, ukimaliza unapata 9000. Ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa kiaina. Ila usiangalie makunyanzi, Sasa unataka mwalimu auze chaki? Changanya na maandazi. Fundisha kwa bidii na biashara kwa bidii.
 
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.

Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Elfu 50 yote hiyo? Kuna wanaowah mazizini kuchukua nyama za supu hawafikishi hata huo mtaji
 
samahan mkuu protector izo kwa bei hiyo zinapatikan wapi ?
 
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.

Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Bila kutoa hints ni kujizima data,habu Tuwe na uwazi
 
K
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.

Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Kuna mdogo wangu anauza juice mtaji elfu 10 tu na anaingiza hadi 15k kwa siku
 
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.

Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Sometime biashara ni bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…