Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Bado huelewi kitu
 
Huna akili timamu
 
ww hujanielewa inafanya kazi kama wakati unastake mkeka pale kwenye accept any odd change tick ilikuwepo basi ikitokea odd zimeshuka na mkeka pia utashuka sasa ww kama hutaki mkeka ushuke ushindi kabla huja place bet hakikisha ile tick pale accept odd change haipo na hio tick inaweza kuwepo yenyewe automatic sasa hilo ni juu yako kuitoa..tatizo wengi mnapasahau hapo mnalia kuibiwa asubuh mkeka unasoma ushindi 50,000 na jion mkeka unasoma 35,000 unabaki unashangaa kumbe pale accept odd change tick ilikuwepo ila ww hukuiona au uliiona ila hukujua maana ya hio tick ya accept odd change.
 
Mkuu inaonekana hujaelewa vizuri hivi tufanye nimeshakubali icho kidude cha odds change then nilipoplace bet odds zikashuka toka 60 Hadi 40 nikaweka efu 10 kushinda 400k..

Then mkeka unashinda unakuta umeshinda 320k...
We unaona hiyo n sawa?
itakuwa sawa kama ile tick kwenye accept odd change ilikuwepo na endapo umehakikisha haikuwepo wakati unaplace bet basi mkeka wa ushindi haupungui hata kama odd zitashuka lada kuwa na mechi iwe ilihairishwa hayo mengine ni ubishi wenu tu wa kutokubali makosa yenu.
 
Bado haujanielewa... Mpka una stake ni tayar unaona kila kitu kuanzia total odds,idadi ya team na expected amount after win. Game zinaanza ukiingia kwenye mkeka wako still unaona total odds zilizopo. Hapo ukikuta zimepungua Odds na pesa unayotakiwa kula mara baada ya kushinda utasemaje?
 
Hawa Jamaa hawaelewi. Unaweza kuweka mkeka asubuh jion odds zikapanda unakuta ukistake 5000 ukitaka ku cash out unakuata 5500 na hapo mechi hazijaanza kumbe Kuna timu ilikuwa na odds kubwa zimeshuka
 
Hawa Jamaa hawaelewi. Unaweza kuweka mkeka asubuh jion odds zikapanda unakuta ukistake 5000 ukitaka ku cash out unakuata 5500 na hapo mechi hazijaanza kumbe Kuna timu ilikuwa na odds kubwa zimeshuka
Wewe ndio huelewi mwenzio kakuambia akishaplace bet baadae mechi zikisha Isha anakuta odds zimeshushwa kwenye mkeka wake kama aliplace odds 2.00 anakuta kwenye mkeka odds 1.90
 
Wewe ndio huelewi mwenzio kakuambia akishaplace bet baadae mechi zikisha Isha anakuta odds zimeshushwa kwenye mkeka wake kama aliplace odds 2.00 anakuta kwenye mkeka odds 1.90
Wejamaa nakujua hamnazo Sina sababu yakubishana na wewe
 
ww jamaa una kichwa kigumu kinoma nadhani lengo lako si kutaka kuelewa bali kubishana tu..kwani mabadiliko ya odd yanatokea mda huo huo ulikoweka bet? si baadae sana bet uliweka asubuh au mchana na kabla muda wa mechi odd zikapungua sasa kama ww unataka total odds,idadi ya timu,amount to win uliyoweka asubuhi ulipwe vile vile bila kupungua hata kama odd zilishuka uhakikishe pale accept odds change hapakuwa na tick wakati unastake mkeka ile asubuh ww hautoguswa sasa kama tick ilikuwepo tu automatic ila hukuitoa ukaiacha au hukuiona kabisa kama ipo na wengi tunapasahau sana hapa hatupaangalii wengi tunachek win amount tu tumemaliza ila sasa nakushauri kung'oa mzizi wa tatizo ila ww umeshikila tu hela ya ushindi,helaa ya ushindi,kwanini ipungue unaambiwa sababu huitaki kuikubali duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…