Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wewe ndio hamnazo unachobisha hapo nini yaani jina lako limeendana na akili yakoWejamaa nakujua hamnazo Sina sababu yakubishana na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio hamnazo unachobisha hapo nini yaani jina lako limeendana na akili yakoWejamaa nakujua hamnazo Sina sababu yakubishana na wewe
NonsenseWewe ndio hamnazo unachobisha hapo nini yaani jina lako limeendana na akili yako
Jina lako na akili ni sambambaNonsense
Fucking mind!Jina lako na akili ni sambamba
Jina na akili Yako ni vipo sambamba kiufupi umeozaFucking mind!
zimeshushwa sababu kwenye accept odd change ilikuwepo tick kumaanisha umekubali mabadiliko ya odd yakitokea sema wengi hawajali au hawaitoi ile tick na ndio inawaletea hio shida alafu wengi hata hawajaishtukia wanalia kuibiwa ushindi bila kujua mzizi wa fitna ni ile tick ya accept odss changeWewe ndio huelewi mwenzio kakuambia akishaplace bet baadae mechi zikisha Isha anakuta odds zimeshushwa kwenye mkeka wake kama aliplace odds 2.00 anakuta kwenye mkeka odds 1.90
Accept changes inabadilika ukiwa unasuka mkeka maana odds zinachenji ndani ya sekunde ndio maana wanakuwekea hiko kipengele sio ukishastake ulishawahi kuona wapi mjomba ukishastake hamna habari za accept changeszimeshushwa sababu kwenye accept odd change ilikuwepo tick kumaanisha umekubali mabadiliko ya odd yakitokea sema wengi hawajali au hawaitoi ile tick na ndio inawaletea hio shida alafu wengi hata hawajaishtukia wanalia kuibiwa ushindi bila kujua mzizi wa fitna ni ile tick ya accept odss change
Wewe upo sawa mkuu maana unapo click neno place bet wakachukua pesa yako hapo unakuwa umeingia nao mkataba kwa kile ulichokijaza kwenye mkeka ndo maana wanachukua total odds wanazidisha na kiasi ulicho stake wanajumlisha na bonus unapata kiasi utakacho shinda kabla ya kaodi. Wakikata kodi unabaki nachako kabisa.Bado huelewi kitu
hizo odd zimewekwa kwa ajili ya wanawake?Sasa Mkeka gani Mwanaume mzima unafukuzia odds za 0.5 au 0.7 au 1.26??unakula nini sasa hapo??
Mkuu wanakubishia nawewe mzee wa mamilioni ya kubet?Accept changes inabadilika ukiwa unasuka mkeka maana odds zinachenji ndani ya sekunde ndio maana wanakuwekea hiko kipengele sio ukishastake ulishawahi kuona wapi mjomba ukishastake hamna habari za accept changes
Hawana akili hivi accept changes na mkeka ambao umeshastake unasubiri matokeo wapi na wapi hiki kipengele kinatumika ukiwa bado unasuka mkeka maana games zinakua zinabadilikabadilika oddsMkuu wanakubishia nawewe mzee wa mamilioni ya kubet?
Ukisha place button ya Place bet wakachukua pesa yao unakuwa umekubaliana na kile ulichokijaza kwenye mkeka kiufupi unakuwa umeingia nao mkataba kwahyo Odds lazima zibaki kama ulivyojaza kwenye mkeka.Hawana akili hivi accept changes na mkeka ambao umeshastake unasubiri matokeo wapi na wapi hiki kipengele kinatumika ukiwa bado unasuka mkeka maana games zinakua zinabadilikabadilika odds
Ndio nawaambia hapa ila si unajua Kuna mijitu inajifanyaga mijuaji kwenye vitu isiyojuaUkisha place button ya Place bet wakachukua pesa yao unakuwa umekubaliana na kile ulichokijaza kwenye mkeka kiufupi unakuwa umeingia nao mkataba kwahyo Odds lazima zibaki kama ulivyojaza kwenye mkeka.
Sasa wakati ule ule una place bet wakati inaload odds zinaweza kushuka kutoka 3 mpk 2.8, ndo mana 1x wao wana option ya kuchagua accept odd changes if increase au unachagua any changes apo ndo zinaweza kushuka au kupandaUkisha place button ya Place bet wakachukua pesa yao unakuwa umekubaliana na kile ulichokijaza kwenye mkeka kiufupi unakuwa umeingia nao mkataba kwahyo Odds lazima zibaki kama ulivyojaza kwenye mkeka.
Acha uongoSasa wakati ule ule una place bet wakati inaload odds zinaweza kushuka kutoka 3 mpk 2.8, ndo mana 1x wao wana option ya kuchagua accept odd changes if increase au unachagua any changes apo ndo zinaweza kushuka au kupanda
Sio ndio maana nikaachana nao siwataki kabisa
Sasa hapo huoni aliaccept odds changes,maana ukishakubali inakuwa applicapple hata mechi zikiendelea au ukishastake bado odds zinapobadilika dau ya kushinda inapanda na kushukaWewe ndio huelewi mwenzio kakuambia akishaplace bet baadae mechi zikisha Isha anakuta odds zimeshushwa kwenye mkeka wake kama aliplace odds 2.00 anakuta kwenye mkeka odds 1.90
Hiyo inakutokeaga wewe peke yako Mimi haijawahi kunitokeaSasa hapo huoni aliaccept odds changes,maana ukishakubali inakuwa applicapple hata mechi zikiendelea au ukishastake bado odds zinapobadilika dau ya kushinda inapanda na kushuka
Watu hawaelewi,ukiaccept odds changes ukaweka mkeka hata kama mechi hazijaanza kama uliaccept odds changes hata stake iliyoyoweka kama ni 5000 ukitaka kutoa inapungua kama odds zilishuka.ww jamaa una kichwa kigumu kinoma nadhani lengo lako si kutaka kuelewa bali kubishana tu..kwani mabadiliko ya odd yanatokea mda huo huo ulikoweka bet? si baadae sana bet uliweka asubuh au mchana na kabla muda wa mechi odd zikapungua sasa kama ww unataka total odds,idadi ya timu,amount to win uliyoweka asubuhi ulipwe vile vile bila kupungua hata kama odd zilishuka uhakikishe pale accept odds change hapakuwa na tick wakati unastake mkeka ile asubuh ww hautoguswa sasa kama tick ilikuwepo tu automatic ila hukuitoa ukaiacha au hukuiona kabisa kama ipo na wengi tunapasahau sana hapa hatupaangalii wengi tunachek win amount tu tumemaliza ila sasa nakushauri kung'oa mzizi wa tatizo ila ww umeshikila tu hela ya ushindi,helaa ya ushindi,kwanini ipungue unaambiwa sababu huitaki kuikubali duuh!
Kwanini betpawa ukiweka 5000 baada ya mda ukataka kutoa hata kama mechi hazikucheza hela inapungua au kuongezeka?Hiyo inakutokeaga wewe peke yako Mimi haijawahi kunitokea