Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Wewe ndio huelewi mwenzio kakuambia akishaplace bet baadae mechi zikisha Isha anakuta odds zimeshushwa kwenye mkeka wake kama aliplace odds 2.00 anakuta kwenye mkeka odds 1.90
zimeshushwa sababu kwenye accept odd change ilikuwepo tick kumaanisha umekubali mabadiliko ya odd yakitokea sema wengi hawajali au hawaitoi ile tick na ndio inawaletea hio shida alafu wengi hata hawajaishtukia wanalia kuibiwa ushindi bila kujua mzizi wa fitna ni ile tick ya accept odss change
 
Accept changes inabadilika ukiwa unasuka mkeka maana odds zinachenji ndani ya sekunde ndio maana wanakuwekea hiko kipengele sio ukishastake ulishawahi kuona wapi mjomba ukishastake hamna habari za accept changes
 
Bado huelewi kitu
Wewe upo sawa mkuu maana unapo click neno place bet wakachukua pesa yako hapo unakuwa umeingia nao mkataba kwa kile ulichokijaza kwenye mkeka ndo maana wanachukua total odds wanazidisha na kiasi ulicho stake wanajumlisha na bonus unapata kiasi utakacho shinda kabla ya kaodi. Wakikata kodi unabaki nachako kabisa.
 
Accept changes inabadilika ukiwa unasuka mkeka maana odds zinachenji ndani ya sekunde ndio maana wanakuwekea hiko kipengele sio ukishastake ulishawahi kuona wapi mjomba ukishastake hamna habari za accept changes
Mkuu wanakubishia nawewe mzee wa mamilioni ya kubet?
 
Hawana akili hivi accept changes na mkeka ambao umeshastake unasubiri matokeo wapi na wapi hiki kipengele kinatumika ukiwa bado unasuka mkeka maana games zinakua zinabadilikabadilika odds
 
Ukisha place button ya Place bet wakachukua pesa yao unakuwa umekubaliana na kile ulichokijaza kwenye mkeka kiufupi unakuwa umeingia nao mkataba kwahyo Odds lazima zibaki kama ulivyojaza kwenye mkeka.
 
Ndio nawaambia hapa ila si unajua Kuna mijitu inajifanyaga mijuaji kwenye vitu isiyojua
 
Ukisha place button ya Place bet wakachukua pesa yao unakuwa umekubaliana na kile ulichokijaza kwenye mkeka kiufupi unakuwa umeingia nao mkataba kwahyo Odds lazima zibaki kama ulivyojaza kwenye mkeka.
Sasa wakati ule ule una place bet wakati inaload odds zinaweza kushuka kutoka 3 mpk 2.8, ndo mana 1x wao wana option ya kuchagua accept odd changes if increase au unachagua any changes apo ndo zinaweza kushuka au kupanda
 
Attachments

  • Screenshot_20241003-122637.png
    86.9 KB · Views: 2
Sasa wakati ule ule una place bet wakati inaload odds zinaweza kushuka kutoka 3 mpk 2.8, ndo mana 1x wao wana option ya kuchagua accept odd changes if increase au unachagua any changes apo ndo zinaweza kushuka au kupanda
Acha uongo
 
Sio ndio maana nikaachana nao siwataki kabisa

Wewe ndio huelewi mwenzio kakuambia akishaplace bet baadae mechi zikisha Isha anakuta odds zimeshushwa kwenye mkeka wake kama aliplace odds 2.00 anakuta kwenye mkeka odds 1.90
Sasa hapo huoni aliaccept odds changes,maana ukishakubali inakuwa applicapple hata mechi zikiendelea au ukishastake bado odds zinapobadilika dau ya kushinda inapanda na kushuka
 
Hiyo inakutokeaga wewe peke yako Mimi haijawahi kunitokea
 
Watu hawaelewi,ukiaccept odds changes ukaweka mkeka hata kama mechi hazijaanza kama uliaccept odds changes hata stake iliyoyoweka kama ni 5000 ukitaka kutoa inapungua kama odds zilishuka.
 
Hiyo inakutokeaga wewe peke yako Mimi haijawahi kunitokea
Kwanini betpawa ukiweka 5000 baada ya mda ukataka kutoa hata kama mechi hazikucheza hela inapungua au kuongezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…