Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Kwanini betpawa ukiweka 5000 baada ya mda ukataka kutoa hata kama mechi hazikucheza hela inapungua au kuongezeka?
Unaniuliza Mimi waulize wenyewe kampuni husika hao kwanini wewe ukibeti halafu inakutokea hivyo ndio ujue unaibiwa na hiyo kampuni Yako unayotumia
 
Kumbe ndio maana suli Tena kwenye kampuni yao?
 
Kwa mliowahi kula hela ya bonasi sportpesa nauliza hiyo hela hapo ya bonasi anapewa kila mshindi wa bonasi kama ilivyo au mnagawana kwa idadi yenu.?
 

Attachments

  • Screenshot_20241004-163123.jpg
    51.6 KB · Views: 10
Hii nchi kila mtu/taasis ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…