Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Siku nyingine ukiweka screenshot, wu screen record kabisa
 
. Yalintokea gal sport siku moja toka sikuhio nikiweka mkeka mrefu nachujua code natafuta walipo karibh wa mashine

Nawapa code naprintiwa nawapiga vziuri tu majuzi jamaa wao akasema ukiweka nirushie na mm code nkasema ungejua natoka mbali kufwata mashine zenu kuogopa kuibiwa leo nikutumie code naumwa
 
kingine
Kuna kampuni zina masharti na vigezo

Hizi niwakumbushe tu sio mbaya ila wana masharti ukishare codes mkakuta mko zaidi ya kadhaa wana haki ya kutokupa hela

Wengine kama umekula kwa line ya airtel

ukatumia same code ukapiga line ya tigo

Wakajiridhisha pasiposhaka we n mtu mmoja

Wanakupa ahsante kwa kushiriki

Vyema zile masharti mkapenda kuzisoma
 
Watu tuna bet toka 2010 kuanzia M bet mpaka Piga bet karibu kampuni zote bongo tume pita na hatuja wahi kutana na hizo mambo za kubadilishiwa Chaguo hapo ni WEWE mwenyewe ulijichanganya
 
Watu tuna bet toka 2010 kuanzia M bet mpaka Piga bet karibu kampuni zote bongo tume pita na hatuja wahi kutana na hizo mambo za kubadilishiwa Chaguo hapo ni WEWE mwenyewe ulijichanganya
Wspo mkuuu wapoooo sanaaaa

M nabet toka 2006. Wapooo sana tu
 
Hakuna kigezo na sharti linaloweza kuruhusu kampuni kubadilisha chaguo la mteja
Chaguo gani ulaloongelea? Kampuni ndio haiwezi kubadilisha option ulizochagua . Yeye kasema kakuta hela imepungua ,, hili linawezekana kampuni Ina mamlaka yakufanya mabadiliko ya odds, au kuondoa mchezo fulani kwenye ticket Kama mchezo umeahirishwa au ikigundulika Kuna fraudent yoyete ndipo nimemuuliza Kama Alison's vigezo na masharti naona unaropoka kuwa hakun kampuni inayobadilisha machaguo wakati sijazungumzia Jambo hilo
 
Tuonyeshe hio before & after kwa picha zisizoeditiwa
Huyu kajichanganya hakuna kampuni inaweza kukubadilishia mkeka , hajui kampuni ya kubeti ukishinda laki tano wao wanafurahi maana wanajua Kama sio kuja kuirudisha hiyo pesa yote utairudisha na zaidi , kampuni ya kubeti haiwezi kutumia nguvu kuchukua pesa yako wakati utawaachia wenyewe kiroho safi
 
Uliweka over 2.5 kwa wenge wewe😂 kuna jamaa alisema hivyo kuwa kashinda kwakuwa alimbetia Barcelona Kushinda nikamwambia lete mkeka tuone kumbe alibetia Barcelona women😅
 
Chaguo gani ulaloongelea? Kampuni ndio haiwezi kubadilisha option ulizochagua . Yeye kasema kakuta hela imepungua ,,
Soma hapa alichoandika halafu urudi kufafanua:
.... Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, ... Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan
... Kuja kurudi kwenye mkeka nakuta wameniwekea kwamba nilichagua PSG kushinda dhidi ya Arsenal na nimechagua Ac Milan kushinda dhidi ya Liverkursen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…