Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Kweli kabisa niliachana nao baada ya kuona wana upuuzi huo.

Hao nina uhakika sababu walishanipunguzia odds na hela ya ushindi baada ya mkeka kuwin.
Wejamaa Lupweko sijui unatumia akili gani unaelekezwa huelewi. Mimi nimerplay huyu mdau nakueleza bado naona umekaza ubongo
 
Hiyo nikweli mkishinda wengi mnagawana. Ukiona wewe umeshinda ujue jackpot ilikuwa rahisi.

Jaribu jackpot ya timu 17 ukipata umepata sio rahisi mtu kupatis 17, Ila 6, 8, 12, 13 mnaweza kugongana wengi tu kunasiku inakuwa rahisi ndio mnashinda wengi
Hapa kuna harufu ya ujanja ujanja tu. Unashinda unatapelewa unashindwa unaliwa.

Hiyo list ya watu elfu sabini walioshinda Jackpot huwa inawekwa au unaambiwa tu mmeshinda watu elfu sabini?
 
Kwenye kila jackpot Kuna Sheria kuwa ikiwa meshinda watu tofauti tofauti mtagawana ushindi sawa. Unapojiunga na kucheza maana yake imekubali Sheria vigezo na masharti. Ukiona hurithiki unaweza kupeleka malalamiko yako bodi ya michezo ya bahati nasibu. Ikiwa unauhakika umedhulumiwa
 
Hiyo sheria ipo sawa, ninachouliza wanatoa list ya washindi wenzangu? Nimeshinda Jackpot ya M35, unaniambia tumeshinda watu elfu sabini, hao watu elfu sabini ni kina nani? Sababu hapo ndo penye harufu ya kupigwa. Kama wanatoa list kwa namba za simu then sawa maana unaweza kuverify uhalali wa taarifa za ushindi za watu elfu sabini iwapo utataka, ila kama unaambiwa tu mmeshinda watu elfu sabini hapo kuna uwezekano wa kupigwa uchakae.
 
Hakuna kampuni inaorofhasha data za washindi wa jackpot mkuu , labda uende ofisini kwao wanaweza kukusaidia
 
Hii kitu ndo ilinifanya nikakimbia Sportpesa maana kuna mkeka wangu ulikua nishinde Milioni 6 nikaambulia milioni 2 nilichukia kinyama
Kuna mechi iliahirishwa au Kuna mchezo ilinunuliwa fixed game hakuna kampuni yoyote inayolipa fixed game huwa inafutwa na Kama umeichanganya hautalipwa kwa kampuni zote hata huko uliko hamia unaweza ukaleta malalamiko hapa kuwa ushindi wako umepungua
 
Hujaelewa nacho complain ni kua wanashusha odds..
Mfano Liverpool Vs Chelsea labda Liverpool kapewa 1.89 kushinda baadae unakuta odd imekua 1.60 sasa ukishushiwa mechi tatu Tu unajua effect yake...
Ndo yaliyonikuta mkeka ulikua unasoma mil. 6 tena siku hiyo nilikua bize na kazi niliingia Tu asubuhi nikakuta nimeshinda mil 2...
 
Miaka hiyo nilishawekewa lost kwenye mkeka uliowin.

Kama sio kuwapigia na kuwaambia ndio ilikuwa nitolee hiyo.
Sio kweli kuwa kuwa ingekuwa nitolee lazima ungebadilika na ushinde mkeka wako ,, Kama system zimeshindwa kutarack matokeo hasa hasa kwenye kampuni zilizokuwa zinatumia LiveScore kutrack matokeo ya michezo Sasa hivi naona kampuni zote matokeo wanategemea flash score Kama chanzo
 
Watu tuna bet toka 2010 kuanzia M bet mpaka Piga bet karibu kampuni zote bongo tume pita na hatuja wahi kutana na hizo mambo za kubadilishiwa Chaguo hapo ni WEWE mwenyewe ulijichanganya
Shukuru niliwahi welewa lost mapema kwenye mkeka uliowin. Yaani bila kuwapigia simu ingekuwa nitolee hiyo... Uhuni upo mkuu hasa hizi kampuni za kiswahili swahili.
 
Hii kitu ndo ilinifanya nikakimbia Sportpesa maana kuna mkeka wangu ulikua nishinde Milioni 6 nikaambulia milioni 2 nilichukia kinyama
Kabisa yaani kuna mdau sijui ni manager wa sportpesa au vipi anabisha ila ukweli ni huu Sportpesa ni wezi na matapeli.
Mkeka ukitick ndio unakuta odds zimepunguzwa team ilikuwa na odds 1.89 inapunguzwa hadi 1.36 kama ulitakiwa kuwin million unakuta unapewa laki 2.
Ina maana wao kila mkeka wa mtu ukiwin ndio wanaona mapungufu ya odds sijui fixed??
 
Hujaelewa nacho complain ni kua wanashusha odds..
Mfano Liverpool Vs Chelsea labda Liverpool kapewa 1.89 kushinda baadae unakuta odd imekua 1.60 sasa ukishushiwa mechi tatu Tu unajua effect yake...
Ndo yaliyonikuta mkeka ulikua unasoma mil. 6 tena siku hiyo nilikua bize na kazi niliingia Tu asubuhi nikakuta nimeshinda mil 2...
Kushuka odds au kupanda mbona nikampuni zote Tena wanakuambia accept any changes unaaccept bila kujua maana yake?😂 Ndipo nashauru kabla ya kujiunga Soma kwa makini vigezo na masharti odds inaweza kupanda au kushuka kwa nukta ya sekunde
 
Hujaelewa nacho complain ni kua wanashusha odds..
Mfano Liverpool Vs Chelsea labda Liverpool kapewa 1.89 kushinda baadae unakuta odd imekua 1.60 sasa ukishushiwa mechi tatu Tu unajua effect yake...
Ndo yaliyonikuta mkeka ulikua unasoma mil. 6 tena siku hiyo nilikua bize na kazi niliingia Tu asubuhi nikakuta nimeshinda mil 2...
Mkuu, ujanja ujanja unaanzia hapo kwenye kutengeneza list ya betting. Wanacheza na saikolojia.

Unakuta mtu ana furaha kashinda elfu hamsini, unamuuliza how? Anasema mkeka umetiki, unamuuliza ulibet kiasi gani, anajibu 40,000/= ukapata kiasi gani, anajibu 50,000/= sasa umeshindaje 50,000/=? Umeshinda 10,000/= hii 40,000/= ni ya kwako.

Makampuni yanakupa hongera kwa kukurudishia pesa yako kama ushindi. Hawatenganishi ushindi halisi ulioupata na pesa uliyoweka. Wanaharibu tafsiri ya ushindi kwenye ubongo wako.
 
Mkuu, ujanja ujanja unaanzia hapo kwenye kutengeneza list ya betting. Wanacheza na saikolojia.

Unakuta mtu ana furaha kashinda elfu hamsini, unamuuliza how? Anasema mkeka umetiki, unamuuliza ulibet kiasi gani, anajibu 40,000/= ukapata kiasi gani, anajibu 50,000/= sasa umeshindaje 50,000/=? Umeshinda 10,000/= hii 40,000/= ni ya kwako.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom