Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Kushuka odds au kupanda mbona nikampuni zote Tena wanakuambia accept any changes unaaccept bila kujua maana yake?😂 Ndipo nashauru kabla ya kujiunga Soma kwa makini vigezo na masharti odds inaweza kupanda au kushuka kwa nukta ya sekunde
Mzee acha kukaza fuvu kushuka na kupanda kwa odds kunakuwa na effect kwa mkeka ambao bado hujaplace bet. Imagine Chelsea alikuwa na odds 1.89 asubuhi saa 2 ukaweka bet yako. Baadae jioni odds zikashuka hadi 1.60 inaaffect vipi mkeka ulioweka asubuhi??
 
Aliyekuambia Ni kwa mkeka ambao hauja place ninani? Acha kuropoka Mambo usiyoyajua
 
Kweli kabisa niliachana nao baada ya kuona wana upuuzi huo.

Hao nina uhakika sababu walishanipunguzia odds na hela ya ushindi baada ya mkeka kuwin.
mkuu hiyo ya odds au hela ya ushindi kushuka mara nyingi ni makosa yetu wenyewe wateja yaani wakati unastake mkeka pale chini kibox kina maneno "accept odd change" wengi wetu tunaweka tick hapo unakuwa umekubali mabadiliko iwapo odd zitabadilika mfano asubuhi unaweka bet odd zipo Arseanal 2.20 vs. PSG 2.54 ukampa arsenal win lakini jioni au usiku odd za arsenal zikashuka hadi 1.98 hapo lazima hela ya ushindi itapungua sababu uliweka tick pale accept odd change suluhisho usiweke tick sehemu hiyo kama ipo itoe
 
Mzee acha kukaza fuvu kushuka na kupanda kwa odds kunakuwa na effect kwa mkeka ambao bado hujaplace bet. Imagine Chelsea alikuwa na odds 1.89 asubuhi saa 2 ukaweka bet yako. Baadae jioni odds zikashuka hadi 1.60 inaaffect vipi mkeka ulioweka asubuhi??
Soma hapa terms and conditions uone unachokiongelea Kama hakiwezekani au kinawezekana

Ndio maana kabla ya kujiunga mnashauriwa kusoma vigezo na masharti lakini wengi mnakurupuka baadae mnalalamika

mkuu hiyo ya odds au hela ya ushindi kushuka mara nyingi ni makosa yetu wenyewe wateja yaani wakati unastake mkeka pale chini kibox kina maneno "accept odd change" wengi wetu tunaweka tick hapo unakuwa umekubali mabadiliko iwapo odd zitabadilika mfano asubuhi unaweka bet odd zipo Arseanal 2.20 vs. PSG 2.54 ukampa arsenal win lakini jioni au usiku odd za arsenal zikashuka hadi 1.98 hapo lazima hela ya ushindi itapungua sababu uliweka tick pale accept odd change suluhisho usiweke tick sehemu hiyo kama ipo itoe
Bora mkuu wewe unaakili
 
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda.

Sasa hadi kipindi cha kwanza kinaisha timu zote nilizo chagua zilikuwa zinaongoza hisipokuwa Match ya Liverkursen na Ac milani walikuwa bado hawajafungana basi nikaendelea na mishe nyingine nakuja kuangalia dakika ya 89 nakuta Liverkursen kaisha funga goli nikawa najisemea kesho watanikoma maana mkeka niliona unaenda kutiki.

Kuja kurudi kwenye mkeka nakuta wameniwekea kwamba nilichagua PSG kushinda dhidi ya Arsenal na nimechagua Ac Milan kushinda dhidi ya Liverkursen.
Acha kuwangia kazi na biashara za watu. Mbona unakuwa na kumbukumbu ya taarifa za bet yako!!!!

Nitakuwa wa mwisho kuamini hiki
 
Hujaelewa nacho complain ni kua wanashusha odds..
Mfano Liverpool Vs Chelsea labda Liverpool kapewa 1.89 kushinda baadae unakuta odd imekua 1.60 sasa ukishushiwa mechi tatu Tu unajua effect yake...
Ndo yaliyonikuta mkeka ulikua unasoma mil. 6 tena siku hiyo nilikua bize na kazi niliingia Tu asubuhi nikakuta nimeshinda mil 2...
kuepuka hilo la odd ikishuka na ushindi wa mkeka nao unapunguzwa usiweke tick pale "accept odd change" kama ipo tiki hapo itoe kabla hujalipia mkeka maana mchezo mzima unaanzia hapo kuwa umekubali mabadiliko ya odd yakitokea mwisho tunalalamika kuibiwa kumbe walaa we hakikisha hakuna tick sehemu hiyo
 
Kabisa yaani kuna mdau sijui ni manager wa sportpesa au vipi anabisha ila ukweli ni huu Sportpesa ni wezi na matapeli.
Mkeka ukitick ndio unakuta odds zimepunguzwa team ilikuwa na odds 1.89 inapunguzwa hadi 1.36 kama ulitakiwa kuwin million unakuta unapewa laki 2.
Ina maana wao kila mkeka wa mtu ukiwin ndio wanaona mapungufu ya odds sijui fixed??
mkuu usiwe mbishi ww ukisuka mkeka kwenye kulipia stake pale kwa chini kushoto kuna kibox pale kina maneno "accept any odd change" ww kuwa unaweka tick kumaanisha umekubali mabadiliko ya odd yakitokea la muhimu toa tick kama ipo hata odd zikishuka ww utalipwa kwa ile odd uliyolipia asubuhi hawapunguzi chochote sio nyie mnaweka tick kwenye accept odd change alafu mnalalamika kuibiwa mnachosha!
 
Mm nacho fahamu ukibeti kwenye sportpesa wanakutumia meseji ya njema wako iwe wa multibet au jackpot, Kwa hiyo unakuwa na copy ya mkeka wako, chochote kitakacho tokea angalia kinganisha na msg ya mkeka wako ukiotumiwa
 
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda.

Sasa hadi kipindi cha kwanza kinaisha timu zote nilizo chagua zilikuwa zinaongoza hisipokuwa Match ya Liverkursen na Ac milani walikuwa bado hawajafungana basi nikaendelea na mishe nyingine nakuja kuangalia dakika ya 89 nakuta Liverkursen kaisha funga goli nikawa najisemea kesho watanikoma maana mkeka niliona unaenda kutiki.

Kuja kurudi kwenye mkeka nakuta wameniwekea kwamba nilichagua PSG kushinda dhidi ya Arsenal na nimechagua Ac Milan kushinda dhidi ya Liverkursen.
Iki kitu sidhan kama wadau watakuelewa Ila binafsi sio kwa Sportpesa Ila kwangu ilitokea kwa Betpawa na niliwaza Sana mwisho nikaamua KUACHA TU. Haya makampuni yana namna kuwa wakat mtu anaweza aka edit na kukuvabisha
 
mkuu usiwe mbishi ww ukisuka mkeka kwenye kulipia stake pale kwa chini kushoto kuna kibox pale kina maneno "accept any odd change" ww kuwa unaweka tick kumaanisha umekubali mabadiliko ya odd yakitokea la muhimu toa tick kama ipo hata odd zikishuka ww utalipwa kwa ile odd uliyolipia asubuhi hawapunguzi chochote sio nyie mnaweka tick kwenye accept odd change alafu mnalalamika kuibiwa mnachosha!
Haya
 
mkuu hiyo ya odds au hela ya ushindi kushuka mara nyingi ni makosa yetu wenyewe wateja yaani wakati unastake mkeka pale chini kibox kina maneno "accept odd change" wengi wetu tunaweka tick hapo unakuwa umekubali mabadiliko iwapo odd zitabadilika mfano asubuhi unaweka bet odd zipo Arseanal 2.20 vs. PSG 2.54 ukampa arsenal win lakini jioni au usiku odd za arsenal zikashuka hadi 1.98 hapo lazima hela ya ushindi itapungua sababu uliweka tick pale accept odd change suluhisho usiweke tick sehemu hiyo kama ipo itoe
Sawa mkuu umeeleweka
 
kingine
Kuna kampuni zina masharti na vigezo

Hizi niwakumbushe tu sio mbaya ila wana masharti ukishare codes mkakuta mko zaidi ya kadhaa wana haki ya kutokupa hela

Wengine kama umekula kwa line ya airtel

ukatumia same code ukapiga line ya tigo

Wakajiridhisha pasiposhaka we n mtu mmoja

Wanakupa ahsante kwa kushiriki

Vyema zile masharti mkapenda kuzisoma
Sasa kwann wanatoa options za kushare code
 
Back
Top Bottom