Well said, kampuni yangu pendwa hii ya ubashiri! 💪Achana na wajinga hao tumia sportybet hata ukipiga mil 90 wanakupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said, kampuni yangu pendwa hii ya ubashiri! 💪Achana na wajinga hao tumia sportybet hata ukipiga mil 90 wanakupa
Mkuu unajua dau aliloweka? Kwa game alizotaja sio chini ya odds 5, ukijilipua unatengeneza hela nzuriSasa Mkeka gani Mwanaume mzima unafukuzia odds za 0.5 au 0.7 au 1.26??unakula nini sasa hapo??
Ni kweli mkuu haya mambo yanatokea, uenda ni tatizo la system au wanatufanyia uhuni. Mimi nilishawahi kufanya cash out, nikapata nikaona kabisa maandishi ya cash out succesful cha kushangaza hela sijawekewa na mkeka niliocash out umeondolewa kabisa haupo popote sio kwenye open bet wala settled. Ukibet ni muhimu kuweka kumbukumbu kama screenshot au code ya mkekauyo muongo
Sasa lazima umuelewe partner wako ili upime win-win otherwise utakuwa kwenye circle ya win-lose huku akikuaminisha ni win-win. Lazima ujiulize kwanini upewe hongera ya kurudishiwa pesa yako.Mimi sio mchezesha kamari, bali mcheza kamari kwa hiyo navaa viatu vyangu.
Umeweka elfu 40, ukishinda unapata elfu 50 kivipi mzee? Ukishinda umepata elfu 10 kama ungepata elf 50 ungekuwa na elfu 90.Nikiweka sh. elfu 40 huku nikijua nikishindwa itapotea yote na nikishinda nitapata sh. elfu 50, sihitaji mtu mwingine hadi atokee kuniambia kwa mchezo wa psychology maana mimi mwenyewe naelewa mapema
Kampuni yakubeti hata ushinde Bilion bado huwezi kuwafanya washindwe kukulipa. Ukiona umeshinda ujue Kuna mwenzako analia Mahali. Betting Wana invest capital yakutosha imagine mtu anaweka 200 anaruhusiwa Kushinda hata Trilion kadhaa . Nikwasababu asilimia zako zakushinda Ni ndogo Sana ukilinganisha na kampuni kupata faida. Pia hata wakikupa hiyo pesa 60% ya watu wanaoshinda pesa kwenye betting huirudisha yote ama wamerudisha pesa waliyowahi kubetia. Ujue tu kwamba hakuna namna unaweza kuwadhuru au kuwakomoa kampuni ya betting . Kushinda kwako mkeka wao wanafurahi huwa hawapendi upoteze kila siku maana utaacha kubeti . Ukiona malipo yamechelewa ujue Ni system tu au Kuna fraudent umefanya.Kwa matokeo ya jana nafikiri kampuni za kubet zilipogwa sana ndio maana hao wengine wakaona wachakachue mikeka
Bila shaka wewe ni wakala wa mhindi, kwamba ukishinda kampuni inafurahi au sio. Mwaka jana around october na november betpawa walipigwa mpaka wakashindwa kulipa wateja wao wewe ulikua wapi. Makosa kama aliyosema mtoa mada yanatokea, inawezekana ikiwa ni makosa ya mfumo au kuna uhuni tunafanyiwa, ndio maana nikasisitiza ni muhimu kuwa na ushaidi mfano code au screenshot ya mkeka.Kampuni yakubeti hata ushinde Bilion bado huwezi kuwafanya washindwe kukulipa. Ukiona umeshinda ujue Kuna mwenzako analia Mahali. Betting Wana invest capital yakutosha imagine mtu anaweka 200 anaruhusiwa Kushinda hata Trilion kadhaa . Nikwasababu asilimia zako zakushinda Ni ndogo Sana ukilinganisha na kampuni kupata faida. Pia hata wakikupa hiyo pesa 60% ya watu wanaoshinda pesa kwenye betting huirudisha yote ama wamerudisha pesa waliyowahi kubetia. Ujue tu kwamba hakuna namna unaweza kuwadhuru au kuwakomoa kampuni ya betting . Kushinda kwako mkeka wao wanafurahi huwa hawapendi upoteze kila siku maana utaacha kubeti . Ukiona malipo yamechelewa ujue Ni system tu au Kuna fraudent umefanya.
Betpawa walishindwa kulipa wateja😂 acha upotoshaji mkuu hiyo hela walitoshinda hao wateja haitoshi hata bajeti ya mwezi ya uendeshaji wa kampuni ya BetpawaBila shaka wewe ni wakala wa mhindi, kwamba ukishinda kampuni inafurahi au sio. Mwaka jana around october na november betpawa walipigwa mpaka wakashindwa kulipa wateja wao wewe ulikua wapi. Makosa kama aliyosema mtoa mada yanatokea, inawezekana ikiwa ni makosa ya mfumo au kuna uhuni tunafanyiwa, ndio maana nikasisitiza ni muhimu kuwa na ushaidi mfano code au screenshot ya mkeka.
Acha ubishi kijana mwaka jana around october mpaka november betpawa walipigwa sana na wateja.Betpawa walishindwa kulipa wateja😂 acha upotoshaji mkuu hiyo hela walitoshinda hao wateja haitoshi hata bajeti ya mwezi ya uendeshaji wa kampuni ya Betpawa
Huelewi kitu unachoongea weweAcha ubishi kijana mwaka jana around october mpaka november betpawa walipigwa sana na wateja.
Wakaondoa ofa zote za bonus na huduma ya kuwithdraw hela, ilikua unaweza kudeposit na kuweka mkeka tu lakini kuwithdraw hela haiwezekani, walizuia kwanza huduma ya kuwithdraw ili wateja wapigwe wapate hela ya kuwalipa walioshinda, hili suala lilifika mpaka kwenye mamlaka wakalitolea tamko waulize wateja wa betpawa watakuambia. watu walisubiri takribani wiki mbili kuweza kuwithdraw hela zao.
Sikukosea na sikoseagi kwenye hiyo sekta nakagua mara nyingiUliweka over 2.5 kwa wenge wewe😂 kuna jamaa alisema hivyo kuwa kashinda kwakuwa alimbetia Barcelona Kushinda nikamwambia lete mkeka tuone kumbe alibetia Barcelona women😅
Tumia akili wewe kijana, kwaiyo ulitegemea waseme kampuni imeshindwa kuliwalipa wateja kwa sababu wameshinda hela nyingi kuliko salio lilipo hazina?Kushindwa kutoa pesa nitatizo la kiufundi na sio kampuni kushindwa kulipa pesa Kama unavyodai
Kwa taarifa yako Betpawa ndio kampuni inayooperate katika masoko ya ndani Tajiri zaidi Africa ikifwatiwa na Betway Kisha 888 Africa , haitotokea Betpawa wakose hela ya kulipa wachezaji. Uwekezaji wa betwapa nitrilion za kutosha Anyway nakuwekea taarifa waliyoitoa Betpawa kipindi Cha October 21
Imekuwa mfululizo wa ushindi uliovunja rekodi kwa wateja wa betPawa kote Afrika 🤩
Wateja 1,260,265 tofauti walishinda kati ya Jumamosi tarehe 21 na Jumatatu tarehe 30 Oktoba, na kuthibitisha kwa nini kaulimbiu ya betPawa ni ndogo, jishindie BIG kwa kujishindia dola 77,915,489.65$ "(194,788,724,125.00tsh) kwa pamoja 🤯
Watu 175 wa kipekee walijishindia USD 10,000 (25,000,000tsh) au zaidi, huku mshindi MKUBWA kuliko wote akigeuza dau la USD 0.88 (2200tsh) kuwa malipo ya USD 149,453.99 (Milion 373.634tsh) nchini Tanzania"
Hata hivyo betapwa kwa upande wa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya mfumo wa utoaji pesa tatizo linaloshughulikiwa kwa haraka ili wateja waweze kutoa fedha zao
nashukuru umeweza kunijibu mwenyewe.
Dah we jamaa nimgumu Sana kuelewa unafikiri wewe ukishinda mkeka Kuna hela ziko mfukoni mwa mfanyakazi wa Betpawa ambazo ndio anakutumia?Tumia akili wewe kijana, kwaiyo ulitegemea waseme kampuni imeshindwa kuliwalipa wateja kwa sababu wameshinda hela nyingi kuliko salio lilipo hazina?
Kwaiyo hitilafu ya mtandao katika mfumo wa malipo ndio ikapelekea betpawa waziondoe mpaka bonus baada ya kupigwa parefu na wateja?Dah we jamaa nimgumu Sana kuelewa unafikiri wewe ukishinda mkeka Kuna hela ziko mfukoni mwa mfanyakazi wa Betpawa ambazo ndio anakutumia?
Contact support uwaulize Kwanini waliweka hizo bonus na Kwanini waliziondoa huenda ukapata majibu Kwanini waliziondoaKwaiyo hitilafu ya mtandao katika mfumo wa malipo ndio ikapelekea betpawa waziondoe mpaka bonus baada ya kupigwa parefu na wateja?
😀😀😀😀 mzee baba kusoma hujui, basi ndio hata picha hauioni.!Contact support uwaulize Kwanini waliweka hizo bonus na Kwanini waliziondoa huenda ukapata majibu Kwanini waliziondoa