ππKuna siku maisha yalinifunga kamba za viatu, Niko kwenye foleni kabla mfugale haijajengwa. Ka cresta sikakazima mfukoni Nina 2,000 jamu niliyozuia, nusu mkojo niuache.
Konda Mmoja "gari za shemeji zenu, mnakuja kutuzimia huku, na hapo hata 3,000 huna".
Kawaida sana hii, ingawa sio ya kufanya kimazoea ila ikitokea mfukoni hamna kitu na inabidi utoke na gari lina wese wewe piga moyo konde ingia road kibishi, mimi nisipokuwa na kitu mfukoni siku hiyo nakuwa ni dereva bora macho yote yanaangalia vibao barabarani sifanyi kosa kiboya ingawa kuna siku pale junction ya mwenge kuelekea ubungo nilipigwa mkono na traffic ananiambia nimepita kwenye red wakati mimi niliona kabisa yellow imewaka nikiwa katikati ya junction, tulipelekeshana na yule afande uzuri ukitumia lugha nzuri mnaelewana na sikumpa hata mia maana sikuwa nayo [emoji28]Dah nimeanza kujifunza kitu. Kuna muda mtu unamuona anapita na kausafiri kake especially hivi vibaby walker, ukasema ameyapatia na ile hali hapo hiyo route anapokwenda akikosa anachokifuata basi anaweza asiweze kuamsha gari sababu ya kukosa fuel ya kumrejesha home..
Ukianza kutafuna mademu kwenye gari, utapata vi ajali vidogo vingi sana, angalia magari ya wanzinzi uone yalivyochoka, nnakushauri usijaribuAmina mkuu.... Amina.....
Mimi huu ni mwana na miezi nane nashukuru MUNGU, ukiacha hivi vitiketi na vibao vya matrafiki, sijapata ajali hata ya kuingiza gari kwenye shimo, nadhani malaika wa ulinzi niliopewa watakuwa wananijua vema sana tokea utotoni so wananipa ulinzi kiwango cha platinum.
Aisee
Mimi nikiwa na drive najitahidi nisikose laki tano kwenye gari, kuna pancha kuna kukwaruzana nk.
Kwa miaka hii ukimpa elfu tano labda awe na njaa sana na awe amekuhurumia. Ila ni kuanzia 10k.
Hiyo elfu tano akikuandikia anenda kupewa kama commission ya kukusanya mapato.
Au haujui kuwa TRA na Traffic ni taasisi moja majengo tofauti
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]kuna kitu cha kujifunza hapaUkianza kutafuna mademu kwenye gari, utapata vi ajali vidogo vingi sana, angalia magari ya wanzinzi uone yalivyochoka, nsiushaurj usijaribu
Leo nimeamini kuna
Kuna watu bado wana zana za kale kuwa anayemiliki gari basi pesa nyingi kitu ambacho sio kweli alafu pia nimegundua hapa JF bado kuna watu ni waoga wa maisha wanaowaza kulipwa mshahara Mkubwa ndipo wanunue Magari...
"Acha kukusanya kila takataka" nimejifunza kitu leoYeah kikubwa kuwa na strong and reliable network! Acha kukusanya kila takataka
Yes, sasa kama una marafiki kama 200 na hakuna mwenye uwezo wa kukupa hata million ukiwa na shida, hizo si ni takataka?"Acha kukusanya kila takataka" nimejifunza kitu leo
Ni kweli kabisaHAO RAFIKI ZAKO NI MADALALI A.K.A MISHENI TOWN UKIWAIGA UNAHARIBIKIWA UTAWAWEKA NJAA FAMILIA YAKO KWA SABABU YA GARI
Kubali tu we ni mgeni ,njia inamiaka karibu 30 , tumeitumia toka ikiwa vumbi hadi inapata lamiMimi sio mgeni mjini na njia hiyo siijui
Kimara kupitia Sam nujoma ni njia fupi sana Ila ina kero na changamoto za kupoteza muda hasa miss ya jioni , njia hiyo ya kupitia msewe inaweza kuwa ndefu kidogo Ila ni straight forward hainaga shidaHata hivo ningekua mimi pia hiyo njia unayozungumzia wewe siijui sababu sio mwenyeji hata mimi nikitaka kuenda kimara kutoka udsm ningepita sam nujoma road
Ungemuwahi mapema ukaomba samahani kwani kweli umekosea na ukampa elf5/10 fasta ukaendelea na ratiba zakoHahah
Hahahahah ishanikuta hio halafu maeneo ya bank nikiwa na bibie ameelekea ATM nikawa nimepaki upande upande, tairi moja iko nje ya chaki ya barabara.
Kumbe kuna traffic ananisomea ramani tu. Ile mama amefika akapanda gari tu jamaa yuko dirishani...
Au njia ya Msewe kupitia geti la piliSiku nyingine ukitoka UD kwenda Kimara kuna njia ya lami inakuja kutokea pake Bahama Mama, PUMA Petrol Station sio lazima urudi mawasiliano. Nyie ndio mnasababisha foleni wakati kuna njia nzuri mbadala. Nadhani we ni mgeni mjini
Ndio hiyoAu njia ya Msewe kupitia geti la pili
ππ usiseme hivo Dar kubwa sanaKubali tu we ni mgeni ,njia inamiaka karibu 30 , tumeitumia toka ikiwa vumbi hadi inapata lami