Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

Seriously?? Unajua neno mwanaume lime beba mengi? Yaan kuitwa mwanaume si tu kuvaa surual na raba ila Lina uzito wake Mimi siwez jilinganisha na mwanaume
Unaanzaje kujipost na kurembua macho? Mwanaume kua mwanaume act like one
Hapo kwenye kurembua sina hakika nalo , ila mimi binafsi napenda kufuata biashara zangu tu , hii naona kama ni nzuri kwa afya ya akili, ukikomaa na maujinga ya walimwengu utajikuta una person conflict tu🤣
 
Mimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi.

Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa anakula chakula, akiwa beach. Sasa nashindwa kuelewa inamaana anachofanya afurahii yeye anachofurahia ni kupost kutuonesha kuwa anafurahia.

Wakati wengine muda wote ni kupost watoto wao , na familia mitandaoni, nafikiri si kila mtu aliyeko kwenye contact zako ni anafurahia hivo , tujifunze kukeep privacy, hayo mambo wanafanya mastaa na ni Kwa ajili ya branding au adverts.

Kila unachofanya unapost, Kila unapoenda sehemu nzuri, au unapokula msosi mzuri post, ukivaa nguo mpya kupost, kutwa kupost watoto wako na kuwasifia, weka mambo Yako private
ngoja waongeze tohozo za bando maana wamezidi
 
Sawa tutalifanyia kazi
Screenshot_20240916-154459_1.jpg
 
Mfano ww ungepelekwa nje ya nchi usingepost
Ndio mkuu. Mimi kwenye mitandao ya kijamii sijawahi post hata nikiwa airport tu Wala familia yangu sijawahi post mitandaoni.

Hata wife nishampiga stop kunipost hata siku yangu ya kuzaliwa nishamwambia no na sisherekei.

Badala yake Huwa natoka hata 150-250k nagawaia wahitaji vitu mbalimbali na Bado si post.

Huo ni ulimbukeni na ujinga.
Jambo la kujiuliza unapo post Kwa mfano status Ina expired Kwa masaa24 lengo lako ni Nini Sasa?

Kwamba tujue Kila kitu kuhusu wewe ?
 
Ww unampangiaje mtu jinsi ya kuishi kila mtu anamaisha yake na kila mtu ni dreva wa maisha yake naya familia yake.

Ebu jipe kazi ya maana achana na maisha ya watu ujawasaidia kutafuta ila unataka uwapangie jinsi ya kuishi na kutumia.

Kwa maisha kila mtu anavipaumbere vyake
 
Naona wanaume wanaojipost huku wanalamba lips,wanamshukia mleta mada kama Mwewe,
Nilitegemea hii mada,wanawake tu ndio watakao mpiga vita mleta mada!

Dunia inaenda kasi sana aisee.

😀😀
Hahahaha mleta mada angekua ana vitu vya kumweka bize wala hayo asingeyaona japo kinamna fulani yupo sahihi🤣 ila hii mikato kwa nchi za wenzetu mtoa mada angeshakufa kitambo sana😅
 
Naona wanaume wanaojipost huku wanalamba lips,wanamshukia mleta mada kama Mwewe,
Nilitegemea hii mada,wanawake tu ndio watakao mpiga vita mleta mada!

Dunia inaenda kasi sana aisee.

😀😀
Hata Mimi nimetetemeka sana kuona wanaume wanamzogoa kuliko hata wanawake Daah Kuna uwalakini mkubwa Kwa wanaume sampuli hii.
 
Back
Top Bottom