Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,206
- 1,433
Wangataka kumaliza kama unavyotaka vilio vya Genocide vingekua vingi sanaWeledi wa kupambana na wilaya waliyoizunguka yote miaka zaidi ya miwili?... Wapalestina wangepata robo ya silaha wanazotumia Israel, basi wayahudi wangekua wamesharudi kwao ulaya mwezi uleule wa mwanzoni kabisa
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin 🤮 headWakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.
Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Kuna watu na viatuWakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.
Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Keyboard warriorUmeanza kufikiria maswali.
Baada ya kufikiria maswali, ukayapata kisha ukajiandalia majibu yanayokupendeza.
Baada ya hapo ukaamua kutushirikisha kuhusu maswali na majibu uliyojipatia.
Very impressive!!!
👏🏽 👏🏽 👏🏽
Kheri ungeuliza uelezewe umeandika utumbo mtupu.Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.
Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Unatakiwa utumie akili sio matope.Wangataka kumaliza kama unavyotaka vilio vya Genocide vingekua vingi sana
Kamenishangaza sana aisee.Umeanza kufikiria maswali.
Baada ya kufikiria maswali, ukayapata kisha ukajiandalia majibu yanayokupendeza.
Baada ya hapo ukaamua kutushirikisha kuhusu maswali na majibu uliyojipatia.
Very impressive!!!
👏🏽 👏🏽 👏🏽
Sitaki kuamini!!!Keyboard warrior
Sasa Gaza inavyibolewa Mila Simu au ww jioni hiloUnatakiwa utumie akili sio matope.
Wataalamu wa vita washatoa ripoti kuwa mabomu aliyotumia Israel pale Gaza yalitosha kumaliza vita ya Russia vs Ukraine.
Hivi huoni kama ni nguvu kubwa hiyo iliyotumika?
Yani wametumia silaha hadi wakaishiwa wakaletewa silaha na USA.
Wame deploy wanajeshi laki sita kupambana na wanamgambo elfu ishirini.
Ilhali mwenzake Uturuki anawatoa wanajeshi mia tu kupambana na maelfu ya wanamgambo wa Kurdish na anawapiga na kuwakamata pasi na kumuumiza raia yeyote.
One of the best indeed. Imagine thriving despited being sorrounded by heavily armed enemies(nations and Iran proxies). Tuwape maua yao aiseeWakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.
Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Mkuu embu tulia uandike vizuri. Sijakuelewa hapa ulichoongea.Sasa Gaza inavyibolewa Mila Simu au ww jioni hilo
Urban warfare ni ngumu sana. Pasingekuwa na mateka ndo ungeona Israel alivyo kichaaWeledi wa kupambana na wilaya waliyoizunguka yote miaka zaidi ya miwili?... Wapalestina wangepata robo ya silaha wanazotumia Israel, basi wayahudi wangekua wamesharudi kwao ulaya mwezi uleule wa mwanzoni kabisa
Nilimaanisha hv Gaza inabomolewa Kila uchwaoMkuu embu tulia uandike vizuri. Sijakuelewa hapa ulichoongea.
Huo ndio ukweli mjinga tu ndio atapinga.Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.
Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Hakuna siku Gaza haijashambuliwa kila siku ipindukavyo mabomu hulipuliwa Gaza.Nilimaanisha hv Gaza inabomolewa Kila uchwao
Mjinga utakua ni wewe kaka.Huo ndio ukweli mjinga tu ndio atapinga.