Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

Mimaelezo mirefuu,halafu hakuna point ya msingi.
 
Hakuna genocide. Ni propaganda za media za kiarabu zikiongozwa na Aljazeera
 
Yeah,ccm wanasema JKT ni kiboko duniani hakuna
 
IDF ni jeshi ambalo halina ufanisi wowote.
Kwa ufanisi wote huu wewe kichaa huoni? Nitajie Jeshi gani duniani lililoweza kuuwa Makamanda wa nchi nyingine 30+ na wanasayansi 60+? Na nitajie nchi gani iliweza kushambulia nchi nyingine na kuwaua mawaziri wa nchi hiyo zaidi ya 10?

Tatizo lenu huko misikitini mnadanganyana sana na mlivyo na akili kiduchu hamtaki hata kuamini kuwa Gaidi Abu Obaida kafa!!!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    774.1 KB
  • IMG_4052.jpeg
    22.7 KB · Views: 21
  • IMG_4061.jpeg
    120.4 KB · Views: 26
  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 22
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 24
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 23
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 22
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 20
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 28
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 25
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 21
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 25
  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 22
Mjuba unaangalia sana al jazeera wanaoita hicho kipondo genocide, wenzao kina bbc, cgtn na wengine wanaandika confilict na kuna wengine wanaandika war. Acha kueneza propaganda kuwa ile ni genocide, pale ni mtiti wanabondana wote
 
Urban warfare ni ngumu sana. Pasingekuwa na mateka ndo ungeona Israel alivyo kichaa
Mpaka sasa Israel imeonyesha ukichaa wake kwa namna ilivyoigeuza Gaza kuwa Mji wa Vifusi na Magofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…