Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

Kadeti inauzwa 40k hiyo bado ni feki
 
Yaani ukiona mwanaume amevaa amependeza muheshimu sana, sijui ni nani alipanga nguo zetu ziwe bei juu, hata ukienda kwenye mitumba ukitaka wa kueleweka at least inabidi upasuke
 
Mimi natafuta cadet za mtumba kuna chimbo naenda zinauzwa buku 7 moja alafu kuna fundi eangj mkali sana anapunguza kwa biku 3.

Nikiwa na 40 alfu najua hapo ni suruali 4 tayri
 
Sana .nina boxer ya Louis Vuitton nilinunua mwaka 2007 mpaka leo naivaa na haijatoka hata kipande cha uzi nikiivaa utasema nimenunua jana. Aise kuvaa vitu original raha sana tatizo bei zake wengi hatuziwezi.
Hahahahaha nyie watu huwa mnanifurahisha sana... Kuna jamaa angu nilisoma nae Udsm 2009 kuna kipindi nimeonana nae 2016 tukawa tunapga story za hapa na pale sasa akanionyesha sox amevaa akasema " hizi sox nilinunua kipindi kile tunasoma udsm, ona hizi sox hazichakai sijui kwa nini" kwa kweli nilichoka kabisa maana sox zile ni km mpya tu....
 
Hivi bado woolworths wana operate hapa dar kuna kipindi kulikua na duka lao kule posta hawa wa South nao wanauza vitu quality ya ulaya mali safi. Hata arusha walikua na duka lao pale karibu na TFA
Ulaya pia maduka yameajaa michina. Maduka yanaouza product za Ulaya og huwezi gusa. Kipato cha Kati wengi wanapenda kununua kwenye michina
 
Nyie ndio mnaimwa fangasi....soksi miaka 7?
 
msala 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…