Kwamba upo na Wenzako kikaoni unaachia?. Mwe mwe mwe sidhani kama kikao kitaendelea tena hapo,Watu watacheka mpaka machozi yawatoke na kama una roho nyepesi utaondoka kikaoni ukiwa umefadhaika sana.Atapata mahangaiko sana.Piga kijambo wewe!
Hivi na nyie wanawake huwa mnajambaWe jamba tu
Zaman nilijua wanaume hawa endi chooni wala kujamba kumbe ndio vinara wakuu
Zamani nilijua wanawake wenye mataqo makubwa hawaendi haja, mavy yanatunzwa kwenye makalio, kumbe ndio wanajaza vyoo!Zaman nilijua wanaume hawa endi chooni wala kujamba kumbe ndio vinara wakuu
Jipigishe simu ndiyo ukaufwatule.Kwamba upo na Wenzako kikaoni unaachia?. Mwe mwe mwe sidhani kama kikao kitaendelea tena hapo,Watu watacheka mpaka machozi yawatoke na kama una roho nyepesi utaondoka kikaoni ukiwa umefadhaika sana.
Ukweli ni upisio kweli
Kwanza mimi sio kijana,pili ina maana wewe huoni hoja hapo?.Aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana kwa Taifa
wataalam wa afya wanashauri kuwa ni vyema mtu ajisikie huru kupitisha gesi pale inapobidi kwa staha na mazingira yanayofaa.Kwanza mimi sio kijana,pili ina maana wewe huoni hoja hapo?.
Mimi nimehoji athari za kiafya iwapo Mtu snajizuia siku nzima ili hali "gesimwili' inabisha hodi kila muda na Mtu huyo kuona ni sawa tu.
Nahitaji ushauri wa kitaalamu ikiwezekana Watu wsshauriwe cha kufany au la kama haina tatizo pia tujue,ndio maana linaitwa jukwaa la afya.
wataalam wa afya wanashauri kuwa ni vyema mtu ajisikie huru kupitisha gesi pale inapobidi kwa staha na mazingira yanayofaa.