Hivi kuna madhara gani kwa Mtu pale anapojizuia kutoa/kuachia gesi kwa muda mrefu?

Hivi kuna madhara gani kwa Mtu pale anapojizuia kutoa/kuachia gesi kwa muda mrefu?

Chalamila alihamasisha watu wanywe bia,mimi natofautiane nae kwa kushauri watu wajambe kadri iwezekanavyo
 
Iwe kwa makusudi tu au kwa sababu ya mazingira magumu yanayomzunguka Mtu.

Wapo wale ambao shughuli zao za kila siku hujumuisha kuzungukwa na Mtu au watu wengine,na isivyo bahati kitendo hiki cha kuruhusu gesi kutoka ni tendo linalosababisha fadhaa kubwa kwa Muhusika pale anaposikika na Mtu au Watu wenzake.

Na pale inapokuwa uliokuwa nao/naye ni Mgeni ndio hali huwa ngumu zaidii.Hapa ndio pale Mtu kama Dereva wa Mtu/Watu,Wafanyakazi wa ofisini nk kutamani wangekuwa bodaboda au Fundi Wajenzi n.k. wenye uhuru wa kujiachia watakavyo.

Roho za kiafrika. Sasa unazuia gesi kutoka badala ya kupatia watu ajira na kusaidia serikali mapato? Unakumbuka kipindi kile cha Kikwete Mtwara wanasema gesi haitoki? Mbona walitoa? Labda iwe hakuna uhitaji mkubwa wa hiyo gesi. Tafuta hata wawekezaji watoe hiyo gesi watu wapate ajira. Ipo shambani mwako? Umeongea na wataalamu ni gesi gani? Toeni gesi bei ya gesi ishuke sokoni.
 
Umesema kana kwamba kutakuwa na taarifa kwenye ubongo wako wa kukuandaa kwa tukio. Yaani kwa mfano upate muda wa kutoka nje kupiga chafya?.
 
Jamani Mimi huwa sijambi ila kuna Kochi nikikalia home najamba vibaya mno
Yaani ni hyo location tu.sijui ina nini
 
Sijui hata kuwaza nini huyu jamaa.Kwani Bosi wa kawaida na Wapambe wake wanaishije?.
 
Kwa namna zote.....


Majukumu yananitinga sana, u mzima wa afya?
Mmmm kwa namna zote???? Sintofahamu hii🤨 fafanua hapa

Majukumu wapi we sema ulifungiwa ndani kama kuku wa madoli

Nashukuru ni mzima wa afya
 
Back
Top Bottom