Hivi kuna madhara gani kwa Mtu pale anapojizuia kutoa/kuachia gesi kwa muda mrefu?

Mmmm kwa namna zote???? Sintofahamu hii🤨 fafanua hapa

Majukumu wapi we sema ulifungiwa ndani kama kuku wa madoli

Nashukuru ni mzima wa afya
Nimekukumbuka Hadi viungo vya mwili vinapata maumivu.

Bibi yako mrembo hawezi kunifungia ndani ! Hahahaha



Siamini Kama mzima wa afya,nahitaji kufika kukusalimia.
 
Nimekukumbuka Hadi viungo vya mwili vinapata maumivu.

Bibi yako mrembo hawezi kunifungia ndani ! Hahahaha



Siamini Kama mzima wa afya,nahitaji kufika kukusalimia.
Kipi kinachokufanya usiamini eewe babu yangu
 
Watanzania tujifunze utamaduni wa kutumia vidonge vya gas and acid releaser.

Nchi zilizoendelea kila nyumba hukosi hivi vitu.
Tusisahau kula dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu, maana minyoo ni mtambo wa mashuzi tena mfulululizo kama mtoto mchanga.
 
Ebu fikiria mtu kama Samia au Philip mpango au majaliwa muda wote wana watu wamewazunguka,watu kama hao wakitaka kujamba inakuaje?
Hivi kulikuwa na ulazima kutaja majina?,ungetaja nyadhfa ingetosha pia
 
Gesi gani kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…