DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Lakini si mwisho kizazi cha nneWewe hapo ni sehemu ya babu zako na bibi zako wanaishi kupitia wewe hili ndo lenye uhakika kisayansi kwa sasa. DNA yako ikipimwa babu na bibi zako wataonekana.
Hii falsafa ya moto wakuchomo milele ikoje mkuu!ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
Kwani wewe kabla hujawekwa tumboni ulikuwa wapi? Au haujui jinsi watu huzaliwa ndio maana unaleta mada ambazo hata haujaulizwa, jibu swali kuna maisha baada yakufa? Kama ni ndiyo maana ya kufa ni nini?Jiulize kwanza kabla hujawekwa tumboni mwa mama yako ulikuwa Wapi na ulijitambua?maana Mungu huumba roho halafu mwili.
Uthibitisho kutoka kitabu Cha Yeremia; Mungu anamwambia Yeremia nalikujuwa hata kabla hujawa tumboni mwa mama yako
na wewe uhalali wa kuibishia Biblia wakati kitabu chako kimezaliwa miaka 500 baada ya Biblia unautoa wapi? yaani kadini kenu kamekuja juzi tu hapa na mtu muuaji na aliyeleta jihad afu unataka kuibishia Biblia? huoni kama huna hata hadhi ya kuibishia Bible?Uhalali wa kutumia biblia katika kuamua kesi kama hii unaletwa na nini?
Ngoja nikujibu Dr. Ni Biology ya form one.Lakini si mwisho kizazi cha nne
Mkuu,Ngoja nikujibu Dr. Ni Biology ya form one.
chromosome tunazorithi zinabeba genetic information za baba na mama. Baba na mama wakizaa watoto nao wanakuwa na genetic za wazazi wao ambao ni genetic za babu zao na wakizaa inakuwa hivyo hivyo. Ni mnyororo wa taarifa za vizazi na vizazi.
Sasa unapotungisha mimba, kuna vita ya information kuwa mtoto afananaje, hii vita ni ya taarifa za huo mnyororo wa mababu na mabibi uliopo ndani yako. mfano rangi ya macho iwe brown au blue, unakuta kwenye historia yako ya mababu na mabibi kuna mzungu alishajiingiza hapo ila akapotea kadri mnavyozaana ila hiyo taarifa ya uwepo wake huwa haipotei ndani yako au watoto unaowazaa au wajukuu zako always kuna genetic information za mzungu zitakuwepo, sasa ikitokea kuwa kwenye selection ya eye colour ile blue iliyoachwa na mzungu ikashinda brown unashangaa mtoto ametoka na blue eyes unajiuliza ametoa wapi haya macho? That is what i understand.
Shukran sana kwa elimu Dr. Binafsi sina ujuzi wa haya masuala ya biology zaidi ya elimu kidogo ya sekondary. Asante kwa maarifa.Mkuu,
shukrani sana kwa Biology uliyoita ya "Form one" lakini ni kubwa kuliko unavyodhani
Uko sawa ila una Ufahamu kuhusu DNA Heredity Characters?
Ni hivi Zinakuwa stored kwa Vizazi vinne tu..
Ukienda mbele kidogo Character zinaanza kupotea na ukifika Generation ya 7 Inakuwa ni tofauti kabisa na The New gen..DNA..
sasa its Only 4 Generation Vikizidi hapo kuna kuwa na Disrupted characters sijui kma unanielewa
Yaani kwa sasa hivi tukichukua DNA ya Babu yako kizaa babu yako Haitasoma kama wewe alikuwa ndugu yako wa karibu.. na tukiongeza juu zaidi itaonyesha hamna kitu chochote kinachoonyesha usawa wa DNA zenu..
Sijui kama unafahamu hilo?
Kuna kitu kinaitwa Genetic genealogy jitahidi ujue na kusoma pia.. Its far beyond na genetic ya Olevel wala Advance
Ukisoma humo ndani utakutana na Kitu kinaitwa epigenetic inheritance
Ngoja sasa nikuelimishe kitu..
View attachment 2917989
Picha unayoiona hapo.ni Chart ya DNA genealogy kutoka vizazi 7 unayemuona Mwenye 100 percent ya DNA ni wewe ni babu yako wa 4 kutoka kwako ana 6.25 na ndo inakuwa considered Inheritance ikiwa ndogo na hapo huwa haiwezi kusomeka kama Inheritance kwa.sababu.ni negligible..
Na wa mwisho unamuona ni Babu yako wa 7 ana 0.78 contribution to your DNA so hauna uwezo wa kurithi chochote kutoka kwake..
Hakuna kitu kinaua DNA Inheriatance transformation kama Transgenerational epigenetic Inheritance na kwa siku hizi ndo kinapigiwa chapuo sana..
Unaambiwa usioe ndugu yako?
Sasa unapoenda kuoa mtu mwingine tifauti na ukoo wako unatengeneza Trans na hiyo trans nayo inaenda kuoa nje ya ukoo kuna tengenezwa Trans..
So DNA disruption siku hizi ni kawaida..
View attachment 2917999View attachment 2917998
Karibu
Kama kulitokea Transgenerational epigenetic Inheritance..Shukran sana kwa elimu Dr. Binafsi sina ujuzi wa haya masuala ya biology zaidi ya elimu kidogo ya sekondary. Asante kwa maarifa.
Swali: Kwa maelezo haya inamaana babu yangu wa kizazi cha 50 nyuma akipimwa DNA hatakuwa na uhusiano na mimi kabisa?
sijasema kunaulazima wowote ila kabla hujahoji hiyo nguvu fulani imekujaje hoji hivi unavyoviona into existence vimekujaje?.Kuna ulazima gani kwamba kila kitu kimekuja kwenye existence kupitia kitu fulani au nguvu fulani?
Je hiyo nguvu au hicho kitu kilicho leta vitu vyote into existence chenyewe kili kujaje kwenye existence?
Au chenyewe kilitokea tu kwa bahati mbaya?
Ndiyo, kuna maisha baada ya kifo!!Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
NakaziaHakuna haja ya kuumiza kichwa kwa vitu kama hivi , ni swala la mda tu kama maisha yapo baada ya kufa kila mtu atapata huo uzoefu kama hakuna ni sawa pia .
kabla hujaangaika kukielewa kifo lazma utambue wewe ni nani?. na kinachokufa ni nini?.Basi tupe tafsri ya kifo kama kuna kuishi baada yakufa,
Yaani unatuthibitishiaje kitu kinaweza kuishi halafu kimekufa?
kinachokufa ni nini?...Mkuu umetoa rafsri nzuri sana ya maana ya kifo, labda kama hawakuelewa swali langu ndo wataendelea kuwaleta akina luka na Mohammed kujibu maswali ambayo sikuuliza.
Hili swali la kizee sana. Au swali zee sana. Kuna mada nyingi sana humu jf unaweza kuzisoma na kupata mwangaza. Acha uvivuHabari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
sijabisha nimejibu kutokana na maelezo ya aliyetoa hii commentSikuwa na life kabla ya life, hilo lipo wazi labda kama unapenda kubishana ndo utatuambia wewe.
Ishi kwanza ukifa ndio utajua, sasa unatuuliza sisi kuna aliewahi kufa akafufuka?Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
nani kwakuambia death is a cut off.Skieni niwaambie... jibu ni simple ..nobody knows ..ila lemme tell u wat I know
1. Ukisema binadamu ana roho inabidi uelezee roho ni Nini, Iko wapi, inaanzia wapi...maana najua binadamu ni sperm na ovum ndo muunganiko ukadevelop...asa Kama roho ni uhai je shahawa zile ukimwaga sperms nazo zinaenda umilele...je ovum za period zinaenda umilele...je white blood cells zinaenda umilele...je bacteria..je nzi..je yeast fungi... if not why wewe ...why r u special...kisa ka akili kidogo ulichowazidi Cha kutunga story za uwongo na kweli ama...
2. Secondly, jiulize why dini zote zinatumia death kama cut off..."Bora uamini kabla hujafa..ukimkuta unalo..." why is death the cut off...why dini zote Mungu anajificha anamtokea mtu mmoja na huyo mtu ndo anaambia watu waamini yupo or else Wana adhabu wakimwona...it's simple...coz it's unfalsifiable..huwezi thibitisha...so watu hubet kutokana na uwoga.. hamna mtu aliyekufa akarudi na kusoma moto ni hivi na mbingu ni hivi na wanaodhani wamefanya hivyo wote Wana story tofauti
Ifike pahala wabongo na waafrika tuelewe kwamba hizi dini zililetwa katika mda wa Giza na waliozileta wametumia logic na reason na Sasa wameachana nazo..sisi maskini na mazuzu ndo tunajiona tunajua dini kuliko waliozitengeneza...
Dini ziwepo sawa Zina vifaida ila zisitufanye tubaki nyuma kama jamii na taifa
OK. Kwa Binadamu ambaye wengi wetu tunaamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu (Biblia Mwanzo 1:26). Kitu kinachoweza kuishi baada ya kufa ni ROHO na Roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama ila kwa macho yetu haya haya ya nyama tunaweza kuona fika utendaji wake e.g. roho wabaya a.k.a Mapepo au Mizimu, wanavyowatesa wanadamu e.g. Biblia:Luka 8:33 " na Marko 5:1-17....... Pepo wakamtoka mtu yule wakawaingia nguruwe, nalo kundi lilitelemka gengeni kwa kasi, wakaingia ziwani, wakafa maji." Ipo mifano mingi sana ndani ya Biblia inayoonesha Utendaji wa Roho. Hata Yesu mwenyewe alipandishwa na Roho nyikani Mt 4: 1-4........ Oops! sijui mfano wowote wa kutoka kwenye Quran.Uko sahihi kwa jinsi ulivyoelewa maada na jinsi ulivyochangia, sasa tuambie wewe kuna kitu kinaweza kuishi baada ya kufa? Au ni sisi ndo hatujui maana ya kifo/,kufa?