Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Hivi kuna maisha baada ya kifo?

ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
Hii falsafa ya moto wakuchomo milele ikoje mkuu!
Jazia,jazia vinyama kidogo hata kwaushahidi wakufikilika tuu..me ntakuskiliza.
 
Jiulize kwanza kabla hujawekwa tumboni mwa mama yako ulikuwa Wapi na ulijitambua?maana Mungu huumba roho halafu mwili.

Uthibitisho kutoka kitabu Cha Yeremia; Mungu anamwambia Yeremia nalikujuwa hata kabla hujawa tumboni mwa mama yako
Kwani wewe kabla hujawekwa tumboni ulikuwa wapi? Au haujui jinsi watu huzaliwa ndio maana unaleta mada ambazo hata haujaulizwa, jibu swali kuna maisha baada yakufa? Kama ni ndiyo maana ya kufa ni nini?
 
Binadamu ni muunganiko wa kila kitu unachokiona , udongo ,miamea wanyama na miamba , yani wewe na hivyo vitu hakuna tofauti yoyote , miili yetu imeundwa na vitu vyote hivyo , kufa sio mwisho wa maisha ya mzunguko wa uhai bali ni mwendelezo wa uhai katika hali ya udongo na miamba ili uhai uzidi kuwepo.

Yan kinachofanyika ni badiliko la kiumbo tu kutoka form moja ya mwendelezo wa uhai kwenda kwenye form nyingne ya mwendelezo wa uhai , kama miamba na udongo ,vitu vyote hivyo vipo connected ili tu kuendeleza uhai .

Katika mzunguko wote huo ipo nguvu ya asili inayo fanya mabadiliko haya , inayoshikilia vitu vyote katika mfumo na mpangilio maalumu , katika kanuni za asili kabisa , mimi wewe na vyote unavyoviona viwe hai au visiwe hai kwa pamoja ndio uhai wenyewe, kwa hiyo ukifa ni mwendelezo wa uhai katika form moja na ukiwa hai ni mwendelezo wa uhai katika form nyingne .

Kila kitu kinachoonekana na kisicho onekana kimeshikiliwa na nishati ya asili katika frequency level tofauti tofauti katika dimension mbalimbali, ndio maana unaona utofauti wa kimaumbile ,ila vyote hivyo vipo connected kiasili kabisa ,ndio maana ya kutegemeana katika kuendeleza uhai .

Note: Yapo mambo mengi sana yanayowezekana ambayo bado binadamu hajaweza kuyagundua , sio kwamba miaka1000 iliyopita technology ya simu , TV na radio haikuwepo , hiyo creation ilikuepo sema binadamu alichokifanya ni kuidownloading kutokana na chance na mawimbi ya nishati yanavyovibrating kwenye mawazo ,na ndipo vitu hutokea .
 
Uhalali wa kutumia biblia katika kuamua kesi kama hii unaletwa na nini?
na wewe uhalali wa kuibishia Biblia wakati kitabu chako kimezaliwa miaka 500 baada ya Biblia unautoa wapi? yaani kadini kenu kamekuja juzi tu hapa na mtu muuaji na aliyeleta jihad afu unataka kuibishia Biblia? huoni kama huna hata hadhi ya kuibishia Bible?
 
Lakini si mwisho kizazi cha nne
Ngoja nikujibu Dr. Ni Biology ya form one.

chromosome tunazorithi zinabeba genetic information za baba na mama. Baba na mama wakizaa watoto nao wanakuwa na genetic za wazazi wao ambao ni genetic za babu zao na wakizaa inakuwa hivyo hivyo. Ni mnyororo wa taarifa za vizazi na vizazi.

Sasa unapotungisha mimba, kuna vita ya information kuwa mtoto afananaje, hii vita ni ya taarifa za huo mnyororo wa mababu na mabibi uliopo ndani yako. mfano rangi ya macho iwe brown au blue, unakuta kwenye historia yako ya mababu na mabibi kuna mzungu alishajiingiza hapo ila akapotea kadri mnavyozaana ila hiyo taarifa ya uwepo wake huwa haipotei ndani yako au watoto unaowazaa au wajukuu zako always kuna genetic information za mzungu zitakuwepo, sasa ikitokea kuwa kwenye selection ya eye colour ile blue iliyoachwa na mzungu ikashinda brown unashangaa mtoto ametoka na blue eyes unajiuliza ametoa wapi haya macho? That is what i understand.
 
Mkuu,
shukrani sana kwa Biology uliyoita ya "Form one" lakini ni kubwa kuliko unavyodhani

Uko sawa ila una Ufahamu kuhusu DNA Heredity Characters?

Ni hivi Zinakuwa stored kwa Vizazi vinne tu..
Ukienda mbele kidogo Character zinaanza kupotea na ukifika Generation ya 7 Inakuwa ni tofauti kabisa na The New gen..DNA..

sasa its Only 4 Generation Vikizidi hapo kuna kuwa na Disrupted characters sijui kma unanielewa

Yaani kwa sasa hivi tukichukua DNA ya Babu yako kizaa babu yako Haitasoma kama wewe alikuwa ndugu yako wa karibu.. na tukiongeza juu zaidi itaonyesha hamna kitu chochote kinachoonyesha usawa wa DNA zenu..

Sijui kama unafahamu hilo?

Kuna kitu kinaitwa Genetic genealogy jitahidi ujue na kusoma pia.. Its far beyond na genetic ya Olevel wala Advance

Ukisoma humo ndani utakutana na Kitu kinaitwa epigenetic inheritance

Ngoja sasa nikuelimishe kitu..
Screenshot_20231221_121003_Chrome.jpg

Picha unayoiona hapo.ni Chart ya DNA genealogy kutoka vizazi 7 unayemuona Mwenye 100 percent ya DNA ni wewe... na babu yako wa 4 kutoka kwako ana 6.25 na ndo inakuwa considered Inheritance ikiwa ndogo na hapo huwa haiwezi kusomeka kama Inheritance kwa.sababu.ni negligible..

Na wa mwisho unamuona ni Babu yako wa 7 ana 0.78 contribution to your DNA so hauna uwezo wa kurithi chochote kutoka kwake..

Hakuna kitu kinaua DNA Inheriatance transformation kama Transgenerational epigenetic Inheritance na kwa siku hizi ndo kinapigiwa chapuo sana..

Unaambiwa usioe ndugu yako?
Sasa unapoenda kuoa mtu mwingine tifauti na ukoo wako unatengeneza Trans na hiyo trans nayo inaenda kuoa nje ya ukoo kuna tengenezwa Trans..

So DNA disruption siku hizi ni kawaida..
images (14).jpeg
images (15).jpeg

Karibu
 
Mkuu,
shukrani sana kwa Biology uliyoita ya "Form one" lakini ni kubwa kuliko unavyodhani

Uko sawa ila una Ufahamu kuhusu DNA Heredity Characters?

Ni hivi Zinakuwa stored kwa Vizazi vinne tu..
Ukienda mbele kidogo Character zinaanza kupotea na ukifika Generation ya 7 Inakuwa ni tofauti kabisa na The New gen..DNA..

sasa its Only 4 Generation Vikizidi hapo kuna kuwa na Disrupted characters sijui kma unanielewa

Yaani kwa sasa hivi tukichukua DNA ya Babu yako kizaa babu yako Haitasoma kama wewe alikuwa ndugu yako wa karibu.. na tukiongeza juu zaidi itaonyesha hamna kitu chochote kinachoonyesha usawa wa DNA zenu..

Sijui kama unafahamu hilo?

Kuna kitu kinaitwa Genetic genealogy jitahidi ujue na kusoma pia.. Its far beyond na genetic ya Olevel wala Advance

Ukisoma humo ndani utakutana na Kitu kinaitwa epigenetic inheritance

Ngoja sasa nikuelimishe kitu..
View attachment 2917989

Picha unayoiona hapo.ni Chart ya DNA genealogy kutoka vizazi 7 unayemuona Mwenye 100 percent ya DNA ni wewe ni babu yako wa 4 kutoka kwako ana 6.25 na ndo inakuwa considered Inheritance ikiwa ndogo na hapo huwa haiwezi kusomeka kama Inheritance kwa.sababu.ni negligible..

Na wa mwisho unamuona ni Babu yako wa 7 ana 0.78 contribution to your DNA so hauna uwezo wa kurithi chochote kutoka kwake..

Hakuna kitu kinaua DNA Inheriatance transformation kama Transgenerational epigenetic Inheritance na kwa siku hizi ndo kinapigiwa chapuo sana..

Unaambiwa usioe ndugu yako?
Sasa unapoenda kuoa mtu mwingine tifauti na ukoo wako unatengeneza Trans na hiyo trans nayo inaenda kuoa nje ya ukoo kuna tengenezwa Trans..

So DNA disruption siku hizi ni kawaida..
View attachment 2917999View attachment 2917998

Karibu
Shukran sana kwa elimu Dr. Binafsi sina ujuzi wa haya masuala ya biology zaidi ya elimu kidogo ya sekondary. Asante kwa maarifa.

Swali: Kwa maelezo haya inamaana babu yangu wa kizazi cha 50 nyuma akipimwa DNA hatakuwa na uhusiano na mimi kabisa? Na hakuna uwezekano wa kuwa na mtoto anayefanana na babu miaka 50 nyuma?
 
Shukran sana kwa elimu Dr. Binafsi sina ujuzi wa haya masuala ya biology zaidi ya elimu kidogo ya sekondary. Asante kwa maarifa.

Swali: Kwa maelezo haya inamaana babu yangu wa kizazi cha 50 nyuma akipimwa DNA hatakuwa na uhusiano na mimi kabisa?
Kama kulitokea Transgenerational epigenetic Inheritance..

Nakuhakikishia hutafanana naye hata kidogo Yaani Hata Kusema even a single stranded Heritage yako hana..

Screenshot_20240227_100338_Chrome.jpg

Kwani Si hata biblia inatuambia kabisa au huwa mnaisomaje

Kutoka 20:5

....... BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

......for I the LORD thy God am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation of them that hate me;

Scientific Proofs..
images (1).png

So ukifanya wewe sasa hivi ulaji au utumiaji mbaya wa vitu visivyohitajika kwenyr mwili wako wewe unaweza kupata effects zache ila Vizazi vyako huko mbeleni vitalibeba mpaka kizazi cha tatu na nne..

Sijui umenipata hapo
 
Kuna ulazima gani kwamba kila kitu kimekuja kwenye existence kupitia kitu fulani au nguvu fulani?

Je hiyo nguvu au hicho kitu kilicho leta vitu vyote into existence chenyewe kili kujaje kwenye existence?

Au chenyewe kilitokea tu kwa bahati mbaya?
sijasema kunaulazima wowote ila kabla hujahoji hiyo nguvu fulani imekujaje hoji hivi unavyoviona into existence vimekujaje?.
kwa bahati mbaya sindio?
 
Habari wana JF,

Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?

Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.

(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Ndiyo, kuna maisha baada ya kifo!!
Chaguo ni lako-kwenda ahera, au kupewa mabikra 72!!
 
Habari wana JF,

Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?

Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.

(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Hili swali la kizee sana. Au swali zee sana. Kuna mada nyingi sana humu jf unaweza kuzisoma na kupata mwangaza. Acha uvivu
 
Skieni niwaambie... jibu ni simple ..nobody knows ..ila lemme tell u wat I know
1. Ukisema binadamu ana roho inabidi uelezee roho ni Nini, Iko wapi, inaanzia wapi...maana najua binadamu ni sperm na ovum ndo muunganiko ukadevelop...asa Kama roho ni uhai je shahawa zile ukimwaga sperms nazo zinaenda umilele...je ovum za period zinaenda umilele...je white blood cells zinaenda umilele...je bacteria..je nzi..je yeast fungi... if not why wewe ...why r u special...kisa ka akili kidogo ulichowazidi Cha kutunga story za uwongo na kweli ama...
2. Secondly, jiulize why dini zote zinatumia death kama cut off..."Bora uamini kabla hujafa..ukimkuta unalo..." why is death the cut off...why dini zote Mungu anajificha anamtokea mtu mmoja na huyo mtu ndo anaambia watu waamini yupo or else Wana adhabu wakimwona...it's simple...coz it's unfalsifiable..huwezi thibitisha...so watu hubet kutokana na uwoga.. hamna mtu aliyekufa akarudi na kusoma moto ni hivi na mbingu ni hivi na wanaodhani wamefanya hivyo wote Wana story tofauti

Ifike pahala wabongo na waafrika tuelewe kwamba hizi dini zililetwa katika mda wa Giza na waliozileta wametumia logic na reason na Sasa wameachana nazo..sisi maskini na mazuzu ndo tunajiona tunajua dini kuliko waliozitengeneza...
Dini ziwepo sawa Zina vifaida ila zisitufanye tubaki nyuma kama jamii na taifa
 
Sikuwa na life kabla ya life, hilo lipo wazi labda kama unapenda kubishana ndo utatuambia wewe.
sijabisha nimejibu kutokana na maelezo ya aliyetoa hii comment

overal kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?. au umetokea tu yaani kwa Kubeti kwamba kuna mtu amebeti grace atokee mara boom huyu hapa si ndio? out of more than a million sparms?.

mtu abeti chance yakutokea grace ambaye sperm iliyobeba genetic information yake ikarutubishe yai na azaliwe grace.

yaani kuna sperm million moja chances ya ww kutokea iwe kwa kubeti sindio?
 
Habari wana JF,

Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?

Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.

(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Ishi kwanza ukifa ndio utajua, sasa unatuuliza sisi kuna aliewahi kufa akafufuka?

Huyo aliekuambia yapo kakuambia kiimani kwahiyo ni juu yako kuamini au kutoamini
 
Skieni niwaambie... jibu ni simple ..nobody knows ..ila lemme tell u wat I know
1. Ukisema binadamu ana roho inabidi uelezee roho ni Nini, Iko wapi, inaanzia wapi...maana najua binadamu ni sperm na ovum ndo muunganiko ukadevelop...asa Kama roho ni uhai je shahawa zile ukimwaga sperms nazo zinaenda umilele...je ovum za period zinaenda umilele...je white blood cells zinaenda umilele...je bacteria..je nzi..je yeast fungi... if not why wewe ...why r u special...kisa ka akili kidogo ulichowazidi Cha kutunga story za uwongo na kweli ama...
2. Secondly, jiulize why dini zote zinatumia death kama cut off..."Bora uamini kabla hujafa..ukimkuta unalo..." why is death the cut off...why dini zote Mungu anajificha anamtokea mtu mmoja na huyo mtu ndo anaambia watu waamini yupo or else Wana adhabu wakimwona...it's simple...coz it's unfalsifiable..huwezi thibitisha...so watu hubet kutokana na uwoga.. hamna mtu aliyekufa akarudi na kusoma moto ni hivi na mbingu ni hivi na wanaodhani wamefanya hivyo wote Wana story tofauti

Ifike pahala wabongo na waafrika tuelewe kwamba hizi dini zililetwa katika mda wa Giza na waliozileta wametumia logic na reason na Sasa wameachana nazo..sisi maskini na mazuzu ndo tunajiona tunajua dini kuliko waliozitengeneza...
Dini ziwepo sawa Zina vifaida ila zisitufanye tubaki nyuma kama jamii na taifa
nani kwakuambia death is a cut off.

swali tunapoenda kuifadhi mwili tunasema huu ni mwili wa flani flani huyo flani yuko wapi?.

ufike mahali muelewe mwanadamu is more than a body. unasema huu ni mwili wangu wewe uko wapi hapo
 
Uko sahihi kwa jinsi ulivyoelewa maada na jinsi ulivyochangia, sasa tuambie wewe kuna kitu kinaweza kuishi baada ya kufa? Au ni sisi ndo hatujui maana ya kifo/,kufa?
OK. Kwa Binadamu ambaye wengi wetu tunaamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu (Biblia Mwanzo 1:26). Kitu kinachoweza kuishi baada ya kufa ni ROHO na Roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama ila kwa macho yetu haya haya ya nyama tunaweza kuona fika utendaji wake e.g. roho wabaya a.k.a Mapepo au Mizimu, wanavyowatesa wanadamu e.g. Biblia:Luka 8:33 " na Marko 5:1-17....... Pepo wakamtoka mtu yule wakawaingia nguruwe, nalo kundi lilitelemka gengeni kwa kasi, wakaingia ziwani, wakafa maji." Ipo mifano mingi sana ndani ya Biblia inayoonesha Utendaji wa Roho. Hata Yesu mwenyewe alipandishwa na Roho nyikani Mt 4: 1-4........ Oops! sijui mfano wowote wa kutoka kwenye Quran.
Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom