Mkuu,
shukrani sana kwa Biology uliyoita ya "Form one" lakini ni kubwa kuliko unavyodhani
Uko sawa ila una Ufahamu kuhusu DNA Heredity Characters?
Ni hivi Zinakuwa stored kwa Vizazi vinne tu..
Ukienda mbele kidogo Character zinaanza kupotea na ukifika Generation ya 7 Inakuwa ni tofauti kabisa na The New gen..DNA..
sasa its Only 4 Generation Vikizidi hapo kuna kuwa na Disrupted characters sijui kma unanielewa
Yaani kwa sasa hivi tukichukua DNA ya Babu yako kizaa babu yako Haitasoma kama wewe alikuwa ndugu yako wa karibu.. na tukiongeza juu zaidi itaonyesha hamna kitu chochote kinachoonyesha usawa wa DNA zenu..
Sijui kama unafahamu hilo?
Kuna kitu kinaitwa
Genetic genealogy jitahidi ujue na kusoma pia.. Its far beyond na genetic ya Olevel wala Advance
Ukisoma humo ndani utakutana na Kitu kinaitwa
epigenetic inheritance
Ngoja sasa nikuelimishe kitu..
View attachment 2917989
Picha unayoiona hapo.ni Chart ya DNA genealogy kutoka vizazi 7 unayemuona Mwenye 100 percent ya DNA ni wewe ni babu yako wa 4 kutoka kwako ana 6.25 na ndo inakuwa considered Inheritance ikiwa ndogo na hapo huwa haiwezi kusomeka kama Inheritance kwa.sababu.ni negligible..
Na wa mwisho unamuona ni Babu yako wa 7 ana 0.78 contribution to your DNA so hauna uwezo wa kurithi chochote kutoka kwake..
Hakuna kitu kinaua DNA Inheriatance transformation kama Transgenerational epigenetic Inheritance na kwa siku hizi ndo kinapigiwa chapuo sana..
Unaambiwa usioe ndugu yako?
Sasa unapoenda kuoa mtu mwingine tifauti na ukoo wako unatengeneza Trans na hiyo trans nayo inaenda kuoa nje ya ukoo kuna tengenezwa Trans..
So DNA disruption siku hizi ni kawaida..
View attachment 2917999View attachment 2917998
Karibu