Hili nalo kimsingi ni tatizo. Ila hakuna namna games kaliAISEEEEEEEEEEEEEEEEEEE UNAKUTA WADADA WANAVAA VICHUPI NUSU SEMA FULL UCHI TUU...SIJUI KWA MANTIKI IPI WAKUU ?
Vina kuhusu nini? Au ulitaka wavae hijabu? Mtu anavaa kile anachokna kinampendeza yeye sio wewe na kitampa uhuru wa kufanya kile anachokifanyaYAAANI DAH BORA WALE WADADA TEAM YA BEACH VOLLEYBALL KUTOKA MISRI WALIVAA KIHESHIMA KABISA
ILA DAH OLYMPIC ZOTE ZILIZOKIWA PITA NA HII HAPA NI FULL WADADA WAREMBO KUVAA NUSU UCHI TUU
Ila Olympic imetusaidia wakina sisi....usiku unapita vizuri kabisa na mboga yako ya mrendahahaaa nishaachaga vitu vya kudownoad matako ya wadada kwenye simu yangu.....just naona tuu kwenye tv channel............aiseeeeeeeeeeee
yeseeeee.yeseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yule the story teller hahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhMimi namshukuru Mungu yule kaka mzuri wangu yuko busy haangalii maana kama jana lile shindano la rhythmic gymnastics ilikuwa balaa.
Hakuna mantiki,sema wazungu wanapenda kujiachia tu yaan watoto wanawatazama mama zao,dada zao katika hali ile yaan dah.Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi .
Sijui kwa mantinki ipi wakuu?