Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

YAAANI DAH BORA WALE WADADA TEAM YA BEACH VOLLEYBALL KUTOKA MISRI WALIVAA KIHESHIMA KABISA


ILA DAH OLYMPIC ZOTE ZILIZOKIWA PITA NA HII HAPA NI FULL WADADA WAREMBO KUVAA NUSU UCHI TUU
Vina kuhusu nini? Au ulitaka wavae hijabu? Mtu anavaa kile anachokna kinampendeza yeye sio wewe na kitampa uhuru wa kufanya kile anachokifanya
 
Back
Top Bottom