a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Pongezi kwa demu wako
Angekua anakaa kwao ungeteseka zaidi
Ni sahihi kabisa Vijana OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Pongezi kwa demu wako
Angekua anakaa kwao ungeteseka zaidi
Dada linapokuja suala la Wizi nahisi Mbeya inaongoza, nakumbuka kuna siku chumba cha jirani yangu waliibiwa nikiwa ndani wao walikua wametoka na mvua ilikua inanyesha mchana iyo. walivorudi wakaja kunigongea kuwa wameibiwa Laptop mbili na mwizi kaondoka na Mwamvuli so inaonekana Mwizi alikuja wakati mvua inanyesha na akaondoka ikiwa bado inanyesha 😂💔Inaonekana Mbeya kuna wezi sana.. asubuhi nimeona clip mdada analia ameibiwa kila kitu sebleni. Chumbani godoro limebinuliwa mwizi sijui alikuwa anaangalia kama kuna kibubu 😹😹
mkuu nilipokua naishi ni dakika moja tu nipo kwa RPC, dakika 3 nipo mahakama kuu na Nyumba za jirani walikua wanaishi Askari ukisogea mbele kidogo alikua anaishi Mkuu wa Askari Upelelezi Mbeya licha ya ivo Mkuu wa Mkoa alikua anapenda sana kuja huo mtaa kwa mchepuko wake lakini ndo mtaa ulikua unaongoza kwa watu kusafishiwa nyumbaMBEYA MTAA WENYE USALAMA ANGALAU ASILIMIA KUBWA NI UHINDINI TU.
mingine yote ina mchanganyiko wa watu.
FIKIRIA ULIKUWA UNAISHI KARIBIA NA OFISI YA RPC????
kwanza huo mtaa
1.mahakama kuu haipo mbali
2.mzumbe chuo haipo mbal
3.benk kuu haiko mbal
Ndo mitaa ya kwanza kwanza ya kishua zamani ukitoa BROCK T
Inaonekana Mbeya kuna wezi sana.. asubuhi nimeona clip mdada analia ameibiwa kila kitu sebleni. Chumbani godoro limebinuliwa mwizi sijui alikuwa anaangalia kama kuna kibubu 😹😹
Naomba niwape Mbeya ushindi 😀😀😀😀Dada linapokuja suala la Wizi nahisi Mbeya inaongoza, nakumbuka kuna siku chumba cha jirani yangu waliibiwa nikiwa ndani wao walikua wametoka na mvua ilikua inanyesha mchana iyo. walivorudi wakaja kunigongea kuwa wameibiwa Laptop mbili na mwizi kaondoka na Mwamvuli so inaonekana Mwizi alikua wakati mvua inanyesha na akaondoka ikiwa bado inanyesha 😂💔
yan matukio ya Wizi Mbeya ni mengi sana ya utapeli ndio usiseme. leo nmekumbuka hayo yangu ambayo kamwe sitokuja kuyasahau
Maeneo kama hayo huwa na wezi sana. Wezi wanajua wakikamatwa sehemu kuna askari wengi hawawezi kuuawa.mkuu nilipokua naishi ni dakika moja tu nipo kwa RPC, dakika 3 nipo mahakama kuu na Nyumba za jirani walikua wanaishi Askari ukisogea mbele kidogo alikua anaishi Mkuu wa Askari Upelelezi Mbeya licha ya ivo Mkuu wa Mkoa alikua anapenda sana kuja huo kwa mchepuko wake lakini ndo mtaa ulikua unaongoza kwa watu kusafishiwa nyumba
Mabatini kwa kina ScarsMbona Forest kuna uafadhali mkuu, je ungeishi, Mabatini, Ilemi, Isanga au Ilolo si ungeibwa hadi wewe.
Vyeti mpe mama akufichie dah unajiamini sanaNimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya.
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa simu 3, Laptop na Wallet ilokua na akiba yangu yote pamoja na vitambulisho aisee sijawahi kuvurugwa kichwa kama iyo siku kwenye maisha yangu tangu nizaliwe. Nilikua naishi karibu na ofisi ya RPC ikabidi niende kuripoti apo nikaambiwa inabidi niende Central Police kule Letco na apo sina ata mia mbovu nikatembea mpaka kituoni nikaripoti lkn sikuambulia msaada wowote zaidi ya kunitia hasara ya kuandika Lost Reports. tangu iyo siku niliacha kuripoti kitu polisi.
Mara ya pili 2020 narudi kutoka likizo nakuta Geto jeupeeeeee hahaah, Hii awamu ndo walinikomesha kabisa. walihamisha kila kitu pamoja na vyeti vyangu vyote vya elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form 6. kuulizia majirani wananambia kuna mkaka walikua wanamuona anaishi apo wakajua labda tunajuana aliwaambia kuwa tunahamia sehemu nyingine aisee niliishiwa Nguvu ikabidi nikaishi kwa Dem wangu kwa muda.
hayo matukio Mbeya ni kawaida sana hasa mitaa ya Forest. Mbeya ni mkoa ambao huwa siwezi kuusahau kwenye Maisha yangu. Salute 🫡
sio wote tuko na wazaziVyeti mpe mama akufichie dah unajiamini sana
Basi weka kwenye safesio wote tuko na wazazi
huezi amini nilkua siwezi kukaa mitaa kama iyo ya uswazi kuepuka wizi 😂Mbona Forest kuna uafadhali mkuu, je ungeishi, Mabatini, Ilemi, Isanga au Ilolo si ungeibwa hadi wewe.
umesababisha nmemkumbuka sana aisee alinisaidia sana iko kipindi. Nakumbuka alinipa laki 5 cash mwezi mmoja badae ya kwenda kupanga upya japo tulikuja kuachana mbeleni baada ya kunifumania.Pongezi kwa demu wako
Angekua anakaa kwao ungeteseka zaidi
Mzee hili tukio la kufumaniwa inabidi uje na uzi wakeumesababisha nmekumbuka sana aisee alinisaidia sana iko kipindi. Nakumbuka alinipa laki 5 cash mwezi mmoja badae ya kwenda kupanga upya japo tulikuja kuachana mbeleni baada ya kunifumania.
kipindi iko ndo kwanza nilkua najitafuta, safe ningetoa wapi mimi. huwezi amini sina cheti chochote cha elimu zaidi ya chuo tu. nilijaribu kwenda kufuatilia pale Makumbusho nikapewa utaratibu mrefu nikaamua kuachana navyoBasi weka kwenye safe
Nilijua chanzo cha kuachana ni wewe kufumaniwa mzee wa totoziumesababisha nmekumbuka sana aisee alinisaidia sana iko kipindi. Nakumbuka alinipa laki 5 cash mwezi mmoja badae ya kwenda kupanga upya japo tulikuja kuachana mbeleni baada ya kunifumania.