Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Link mkuu!Hivi ni wa Mbeya yule? Nimeona hio clip. Binti kachanganyikiwa kabisa.
Link mkuu!Hivi ni wa Mbeya yule? Nimeona hio clip. Binti kachanganyikiwa kabisa.
dah mzee nshafumaniwa sana na jana tu nmetoka kufumaniwa. sitoweza kusimulia yoteMzee hili tukio la kufumaniwa inabidi uje na uzi wake
Nimeipita mtandaoni sikutumiwaLink mkuu!
Washua wamehamia isyesye, maziwa ,ituha na forest mpya (hii ndo masaki ya mbeya) karibu na hospital ya mkoa lakn bado wahun wanawafata hkohkomkuu nilipokua naishi ni dakika moja tu nipo kwa RPC, dakika 3 nipo mahakama kuu na Nyumba za jirani walikua wanaishi Askari ukisogea mbele kidogo alikua anaishi Mkuu wa Askari Upelelezi Mbeya licha ya ivo Mkuu wa Mkoa alikua anapenda sana kuja huo mtaa kwa mchepuko wake lakini ndo mtaa ulikua unaongoza kwa watu kusafishiwa nyumba
wanawake inabidi muwe mnatusamehe tu aisee si ata nyie mnaona wadada wenzenu walivoumbika huko mtaani? alinipenda sana yuke dada na bado ananipenda ila kurudiana ndo alishagoma katakata hataki shida. kwao ni wakishua hatariNilijua chanzo cha kuachana ni wewe kufumaniwa mzee wa totozi
Hala hala lakini kijana ohoooo
Forest mpya imekaa poa sana maana kwanza imejitenga na uswazi kama Nzovwe, Meta, Iyunga na viunga vyake. changamoto kule kupata room ya kuishi ni ngumu kama uchumi wako ni legelege. kule Hospitali ya mkoa kumepoa lakini ukisogea karibu na mtaa gani ule sijui Inyala kama sikosei wanachuo wengi sana kwaiyo kuibiwa hakuepukikiWashua wamehamia isyesye, maziwa ,ituha na forest mpya (hii ndo masaki ya mbeya) karibu na hospital ya mkoa lakn bado wahun wanawafata hkohko
mkuu inabidi nije Tanga kutembea hata wiki tu maana madem wa kitanga naokutana nao huku mikoani ni wakawaida sana af mapenzi ndo hawajui kabisa tofauti na mnavowasifia 😂Nipo tanga aise kila demu namuona mzuri, vitoto vibichi.
Kamwili kembambaaaa ilaaaaaa
ila Ninii !? 😅 Maliziaa....Nipo tanga aise kila demu namuona mzuri, vitoto vibichi.
Kamwili kembambaaaa ilaaaaaa
Tanga inakuzwa sana kwenye hii sekta.Nipo tanga aise kila demu namuona mzuri, vitoto vibichi.
Kamwili kembambaaaa ilaaaaaa
Isyesye kupo cool sana hamna ugai gaiForest mpya imekaa poa sana maana kwanza imejitenga na uswazi kama Nzovwe, Meta, Iyunga na viunga vyake. changamoto kule kupata room ya kuishi ni ngumu kama uchumi wako ni legelege. kule Hospitali ya mkoa kumepoa lakini ukisogea karibu na mtaa gani ule sijui Inyala kama sikosei wanachuo wengi sana kwaiyo kuibiwa hakuepukiki
Isyesye kule ndo naona kama uhakika sana
Kaka mimi nipo huku naona kila demu ni mzuri japo sijalamba hata mmoja😅 sasa sijajua yaliyomo yamo ama vipi.Tanga inakuzwa sana kwenye hii sekta.
mwezi ujao nataka nikatembee Mbeya aisee nmepamiss sana. Madem wa City Pub na Mwailubi wajiandae kunipokeaIsyesye kupo cool sana hamna ugai gai
Pita pita na mbeya pazuri, na pale kwenye mataa wale wa alf 3mwezi ujao nataka nikatembee Mbeya aisee nmepamiss sana. Madem wa City Pub na Mwailubi wajiandae kunipokea
hao apana mkuu, target yangu mimi ni wanachuo wa Cucom, Mzumbe na TIAPita pita na mbeya pazuri, na pale kwenye mataa wale wa alf 3
Hivi nyie wanaume hua hamuoni wanaume wenzenu walivyojengeka ?wanawake inabidi muwe mnatusamehe tu aisee si ata nyie mnaona wadada wenzenu walivoumbika huko mtaani? alinipenda sana yuke dada na bado ananipenda ila kurudiana ndo alishagoma katakata hataki shida. kwao ni wakishua hatari
Hata ungekua wewe unaweza miliki vichwa viwili na vyote vikawa na akili??😃Hivi nyie wanaume hua hamuoni wanaume wenzenu walivyojengeka ?
Hua mnadhani wanawake hawatamani?
Mi mara zote nasema wanaume wengi ni dhaifu +ulimbukeni
Mnasema sisi tunaendeshwa na hisia but vice versa is true
Pongezi kwa demu wako
Angekua anakaa kwao ungeteseka zaidi
shida ya isyesye ni mbal sana na town km huna usafir binafs n tatzo.Forest mpya imekaa poa sana maana kwanza imejitenga na uswazi kama Nzovwe, Meta, Iyunga na viunga vyake. changamoto kule kupata room ya kuishi ni ngumu kama uchumi wako ni legelege. kule Hospitali ya mkoa kumepoa lakini ukisogea karibu na mtaa gani ule sijui Inyala kama sikosei wanachuo wengi sana kwaiyo kuibiwa hakuepukiki
Isyesye kule ndo naona kama uhakika sana