Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

hayo matukio Mbeya ni kawaida sana hasa mitaa ya Forest. Mbeya ni mkoa ambao huwa siwezi kuusahau kwenye Maisha yangu. Salute 🫡
Na hua hawaachi ila kuna madogo walimkata mapanga jamaa mmoja kitaa hio hio akawamark akaenda kureport kisha akaanza kuwafuatilia kwa Doria ya askari wapelelezi na jamaa na ndugu kingine walichoharibu walimuibia simu yake ya iPhone kwa hio akawa anawatrack walipo wakadakwa wote wakafunguliwa kesi mahakamani hukumu hata haikuchelewa wakaswekwa ndani ilikua 2017 hio kabla wewe haujaja 2018 sasa hayo mapaka hua hayaishi wakifungwa huku nje kunakua na meengine yanalia nyau kila usiku ukiingia
 
Kama hali mbeya ipo hivyo kama mnavyosema sasa polisi wanafanya kazi gani?

Hii ni aibu kubwa sana kwa jeshi la polisi
tukio la kwanza nilikabidhiwa askari mpelelezi mmoja kila nikimcheki kwenye simu yupo Bar analewa, ukipanda kwenye gari yake kila mwanamke ataekutana nae road ana matako makubwa lazima asimame aanze kumuimbisha. kiufupi Polisi wa Bongo hawana maana. Rushwa tu ndo kitu wanajua kufuatilia
 
Sijui mkuu.. nayoijua ni half picture inayoonyesha forehead na nywele tena iko B&W na nyingine yenye identity ya dimpoz.. hiyo sijaonyeshwa
Unaujua uzi wa selfika? Kule watu wanapost picha. Sasa huyo kishandu alizibebea huko
Ohh sawa, ile sio black and white na ndio hiyo type two uliyosema na kamdomo kakubwa kiasi.
 
Back
Top Bottom