Tunapokea tuzo yetuNaomba niwape Mbeya ushindi 😀😀😀😀
Watu wanajiendekeza.Mbeya kwa wizi wa majumbani ni habari nyingine! Sijui kwa nini ikizingatiwa maisha Wala si magumu sana
Na vitu vya wizi vinauzwa kirahisi sana; unaweza kunujua gesi nusu mtungi, n.k.
ahahahah dunia inavituko huenda mbingun ndo chanel ya vichekesho.Wale ni Makao makuu ya Vibaka kuna Mama mmoja aliwahi sema Pale Station kuwa ilbaki kidogo tu waanze kuibiwa na Makalio
Dah 😂mkuu nilipokua naishi ni dakika moja tu nipo kwa RPC, dakika 3 nipo mahakama kuu na Nyumba za jirani walikua wanaishi Askari ukisogea mbele kidogo alikua anaishi Mkuu wa Askari Upelelezi Mbeya licha ya ivo Mkuu wa Mkoa alikua anapenda sana kuja huo mtaa kwa mchepuko wake lakini ndo mtaa ulikua unaongoza kwa watu kusafishiwa nyumba
Heeeeee 😂😂😂😂Mbeya hiyo ni kawaida mkuu, ukisafiri mwizi anakuja kuishi kwako anapika vyakula vyote vilokuwemo ndani kama ni madem anavusha akitosheka ndo anasafisha kila kitu
Sio suluhu! Wanakuja usiku, inasemekana wanapulizia na madawa.Dawa ni kupanga sehemu ambapo angalau umezungukwa na watu,
Yaani wenye nyumba wapo around.
Ila ukijidai unapangq sehemu ya pekeyako, wewe utakuwa unanunulia wezi vitu kila siku.
Na wezi wanaokuibia wala hawatoki mbali.
ule mtaa ni kisanga mkuu sifikiri kama nyumba ambayo wanaishi wapangaji af haijawah kupigwa tukioNilikaa mtaa huo pia...waliiba kila kitu...nashukuru Mungu nilikua na pesa ya kuwalipa per diem watu niliokuwa nawafanyia training niliviringisha kwenye tambara bovu na laptop wakati nikitoka so hawakuiba ila walibeba kila kitu! Wakarudi siku nyingine nikiwa nimesafiri ,walikuja na bajaji, majirani wakakamata mmoja na bajaji aisee
asante ila hayo matukio ya Mbeya kupoa sio leo 😂Dah 😂
Pole.
pengine yes inaeza saidia au isisaidie, apo Dar kwenye makazi ya watu hasa wenye Geti kali kuna kipindi wizi wa TV ulikithiri sana nais saiv umeshapungua/umeisha.Dawa ni kupanga sehemu ambapo angalau umezungukwa na watu,
Yaani wenye nyumba wapo around.
Ila ukijidai unapangq sehemu ya pekeyako, wewe utakuwa unanunulia wezi vitu kila siku.
Na wezi wanaokuibia wala hawatoki mbali.
Wa kuchomwa moto.Mitaa huko Utengule,jama walikuja wakaiba nyumba yote na kupika ugali kabisa ,kulikua na kuku mchuzi kwenye chungu wakala yote walipomaliza wakanyea ndani ya chungu wakafunika wakakiacha hapo mafigani.
Aisee tumerudi brother alilia siku ile mpaka basi.
Tuliondoka wenyewe.
hamna kitu inawakera polisi mbeya kama kuja eneo ambalo mwizi amekamatwa na wakamkuta bado yupo hai,.....nimeshuhudia wizi wa hovyo hovyo mitaa ya airport na mbalizi,...Kama hali mbeya ipo hivyo kama mnavyosema sasa polisi wanafanya kazi gani?
Hii ni aibu kubwa sana kwa jeshi la polisi
ni watoto wao,....Ukiona tabia hii, ujue viongozi wa maenro husika nao ni wezi na wanashirikiana na wezi