Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya.

Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa simu 3, Laptop na Wallet ilokua na akiba yangu yote pamoja na vitambulisho aisee sijawahi kuvurugwa kichwa kama iyo siku kwenye maisha yangu tangu nizaliwe. Nilikua naishi karibu na ofisi ya RPC ikabidi niende kuripoti apo nikaambiwa inabidi niende Central Police kule Letco na apo sina ata mia mbovu nikatembea mpaka kituoni nikaripoti lkn sikuambulia msaada wowote zaidi ya kunitia hasara ya kuandika Lost Reports. tangu iyo siku niliacha kuripoti kitu polisi.

Mara ya pili 2020 narudi kutoka likizo nakuta Geto jeupeeeeee hahaah, Hii awamu ndo walinikomesha kabisa. walihamisha kila kitu pamoja na vyeti vyangu vyote vya elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form 6. kuulizia majirani wananambia kuna mkaka walikua wanamuona anaishi apo wakajua labda tunajuana aliwaambia kuwa tunahamia sehemu nyingine aisee niliishiwa Nguvu ikabidi nikaishi kwa Dem wangu kwa muda.

hayo matukio Mbeya ni kawaida sana hasa mitaa ya Forest. Mbeya ni mkoa ambao huwa siwezi kuusahau kwenye Maisha yangu. Salute 🫡
Mbeya mm nilikabwa pale karibu na SH Amon nilikua natoka zangu city pub hiyo saa saba usiku natoka city pub naelekea sokomatola nikavuka upande wa pili nimesogea kufika pale karibu na SH Amon naona kuna mtu anakuja mi nilidhan nae yupo kwenye matembezi aisee kuja kugeuka tena huyu hapa kanikaba mara ngwara chini nikasema kimoyoni eheee leo kazi ipo nimedandia mtumbwi wa vibwengo sasa pale chini nipo na yule jamaa ktk purukushani nikawa namzid uwezo duh ghafla wakaongezeka wawili wakawa watatu basi wakanisimamisha wakanipekua mfukoni wakaondoka na simu na shilingi elfu kumi na tano toka siku hiyo mm nikitembea usiku huwa naangalia sana nyuma
 
hamna kitu inawakera polisi mbeya kama kuja eneo ambalo mwizi amekamatwa na wakamkuta bado yupo hai,.....nimeshuhudia wizi wa hovyo hovyo mitaa ya airport na mbalizi,...
kiufupi mtandao wa udokozi mbeya ni mkubwa sana,....
kwa hapo mwanjelwa, kabwe ,sido mpaka soweto, ukiibiwa simu, ukikutana na wenye mji ni chapu tu unaletewa simu yako ila utainunua upya,...
Sasa kama mtandao ni mkubwa na unajulikana kwanini polisi wasiumalize?

Dar miaka ya nyuma kulikuwa na wizi mkubwa wa vifaa vya magari,side mirrow,door locks na taa, na tulikuwa tunajua tutavipata wapi na tunaenda kununua tena

Ila Makonda alipokuwa mkuu wa mkoa alipiga mikwala huo wizi uishe,na mpaka leo alhamdulillah shida imepungua kama sio kuisha

Je,hapo mbeya kwanini hawapo serious?
 
Mitaa huko Utengule,jama walikuja wakaiba nyumba yote na kupika ugali kabisa ,kulikua na kuku mchuzi kwenye chungu wakala yote walipomaliza wakanyea ndani ya chungu wakafunika wakakiacha hapo mafigani.
Aisee tumerudi brother alilia siku ile mpaka basi.
Tuliondoka wenyewe.
hii kali mkuu, najaribu kuimagine 😂
 
Mbeya mm nilikabwa pale karibu na SH Amon nilikua natoka zangu city pub hiyo saa saba usiku natoka city pub naelekea sokomatola nikavuka upande wa pili nimesogea kufika pale karibu na SH Amon naona kuna mtu anakuja mi nilidhan nae yupo kwenye matembezi aisee kuja kugeuka tena huyu hapa kanikaba mara ngwara chini nikasema kimoyoni eheee leo kazi ipo nimedandia mtumbwi wa vibwengo sasa pale chini nipo na yule jamaa ktk purukushani nikawa namzid uwezo duh ghafla wakaongezeka wawili wakawa watatu basi wakanisimamisha wakanipekua mfukoni wakaondoka na simu na shilingi elfu kumi na tano toka siku hiyo mm nikitembea usiku huwa naangalia sana nyuma
pole mkuu usiende kulewa peke yako au jitaidi uwe unachukua usafiri ukiwa unarudi japo Mbeya unaweza jikuta wewe mwenyewe ndo abiria kwenye bajaji wengine wote kikosi maalum 😂
 
Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya.

Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa simu 3, Laptop na Wallet ilokua na akiba yangu yote pamoja na vitambulisho aisee sijawahi kuvurugwa kichwa kama iyo siku kwenye maisha yangu tangu nizaliwe. Nilikua naishi karibu na ofisi ya RPC ikabidi niende kuripoti apo nikaambiwa inabidi niende Central Police kule Letco na apo sina ata mia mbovu nikatembea mpaka kituoni nikaripoti lkn sikuambulia msaada wowote zaidi ya kunitia hasara ya kuandika Lost Reports. tangu iyo siku niliacha kuripoti kitu polisi.

Mara ya pili 2020 narudi kutoka likizo nakuta Geto jeupeeeeee hahaah, Hii awamu ndo walinikomesha kabisa. walihamisha kila kitu pamoja na vyeti vyangu vyote vya elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form 6. kuulizia majirani wananambia kuna mkaka walikua wanamuona anaishi apo wakajua labda tunajuana aliwaambia kuwa tunahamia sehemu nyingine aisee niliishiwa Nguvu ikabidi nikaishi kwa Dem wangu kwa muda.

hayo matukio Mbeya ni kawaida sana hasa mitaa ya Forest. Mbeya ni mkoa ambao huwa siwezi kuusahau kwenye Maisha yangu. Salute 🫡
Ha ha ha Daah, kwahiyo mwamba akaamua kuishi hapo hapo kabla ya Kuiba
 
pole mkuu usiende kulewa peke yako au jitaidi uwe unachukua usafiri ukiwa unarudi japo Mbeya unaweza jikuta wewe mwenyewe ndo abiria kwenye bajaji wengine wote kikosi maalum 😂
hi kawaida sana mbeya kwenye bajaji za usiku,
unaweza kaa mahali unaichora bajaji, unashangaa bajaji haingii mtu yeyote yule, sasa jichanganye uingie au muingie, watu wanatokea kusikojulikana bajaji inajaa chapu,...kufika mbele ndo utajua kumbe ni wewe tu ndo abiria, wengine wote kikosi maalumu,...
technique hii imetumiwa sana kupiga watu nondo mitaa ya airport pale..
 
Sasa kama mtandao ni mkubwa na unajulikana kwanini polisi wasiumalize?

Dar miaka ya nyuma kulikuwa na wizi mkubwa wa vifaa vya magari,side mirrow,door locks na taa, na tulikuwa tunajua tutavipata wapi na tunaenda kununua tena

Ila Makonda alipokuwa mkuu wa mkoa alipiga mikwala huo wizi uishe,na mpaka leo alhamdulillah shida imepungua kama sio kuisha

Je,hapo mbeya kwanini hawapo serious?
shida kuu ni uongozi uliopo ...
haya mambo ni kuendekezana tu ndo kunatufikisha hapa
 
Kweli mkuu ni kuendekezana

Mfano mwingine dar tulikuwa tunasumbuliwa na panya road,lkn polisi walipo amua kufanya kazi yao vizur huo mtandao haupo tena

Polisi inabidi wajitathimini
 
Upo Sahihi mkuu kuna maeneo mbeya ni hatari mfano Airport ya zamani mpaka maendeleo kule juu. Niliwahi ishi huko nikawa nimepanga chumba nyuma ya chuo cha TIA ilikuwa 2011 nikapata msiba nikasafiri salaleee napigiwa simu na majirani zangu wahuni waling'oa nondo wakasepa na kila kitu sio tv,redio,jiko,godoro hadi vyombo vya kupikia Kitanda ndio waliniachia maana walishindwa kupitisha dirishani wakakiacha. Nilivyorudi usiku nikampa habari Pusha wangu Mshkaji wangu sana anaitwa Baba Lucy anasupply kaya mtaa mzima hadi kule mzumbe alipaweka mfukoni mwake alisikitika lakini kumbe lile tukio alikuwa amelisikia Kiufupi nilirudishiwa vitu vyangu kasoro Tv na Redio vilikuwa vimeshauzwa. Nikaona Upuuzi huu nikahamia Ushuani Sabasaba kule karibia na kota za magereza. Hata ukiacha gari nje siku 3 hakuna anayeligusa. Mbeya Tamu sana mazingira misosi bei cheeee sasa Nishatoka huko asaivi tunapambana na joto huku uzaramoni😂😂
 
Kweli mkuu ni kuendekezana

Mfano mwingine dar tulikuwa tunasumbuliwa na panya road,lkn polisi walipo amua kufanya kazi yao vizur huo mtandao haupo tena

Polisi inabidi wajitathimini
hata kipindi hicho mbeya inasumbuliwa sana na majambazi kwa miaka na miaka, polisi walipoanza tu kuwatwanga risasi wakatokomea kusikojulikana,
jombi alipokuwa anasumbua , akakanyaga pabaya, rais Mkapa akaagiza polisi wadili nae, siku za kuhesabika tu , jombi hatuko nae tena,...

uongozi ukiamua, huu udokozi na wizi unakwisha kabisa
 
mkuu nilipokua naishi ni dakika moja tu nipo kwa RPC, dakika 3 nipo mahakama kuu na Nyumba za jirani walikua wanaishi Askari ukisogea mbele kidogo alikua anaishi Mkuu wa Askari Upelelezi Mbeya licha ya ivo Mkuu wa Mkoa alikua anapenda sana kuja huo mtaa kwa mchepuko wake lakini ndo mtaa ulikua unaongoza kwa watu kusafishiwa nyumba
Oya hayo maeneo ndio washenzi wanaiba kishenzi yaan ndio maeneo hayo hayo ulipoelezea napafahamu vizuri sana kuna hii njia ya hapa kati km unatoka Mzumbe unaelekea Mafiati ila haupiti main road ni rough road jamaa hio njia walikua wanapiga sana watu panga usiku yaan ukikutana nao wanakuchomolea mapanga unapigwa sachi kila ulichonacho unawapa ukiwa mbishi wanakushenyenta mapanga ya miguu, sijapasahau ingawa siishi huko tena sehemu pekee ambako nilipapenda hakuna wizi wa kifala sana km maeneo mengine maana kule nahisi ukiiba watakukuta tu barabarani unaongea mweenyewe ni Tanga tu
 
mwezi ujao nataka nikatembee Mbeya aisee nmepamiss sana. Madem wa City Pub na Mwailubi wajiandae kunipokea
Mkuu umenikumbusha Mwailubi, nilishawahi kupanga mule ndani upande wa mbele. Aisee! Makelele mpaka sio poa.

Ningekua kicheche bhasi ningeukwaa mapema sana maana nilikua napata mpaka pisi za bure😂😂

Kuna siku mida ya saa Moja nakatiza chocho, nakutana na pisi ikanimbia kaka karibu, nikaijibu Asante.
Ikaniambia elfu 3 tuu na imepoa kabisa ukitaka gusa mwenyewe akatanua paja🤣🤣🤣. Nikaijibu siku nyingine sahivi ninaharaka.
Bado ikakomaa bhasi toa jero nikupe Cha fasta fasta. Nikaijibu Kuna mtu ananisubiri Eso hivyo namuwahi. Bado ikakomaa au ni wifi??

Ikaniambia sawa sio mbaya bhasi shika nyonyo ndio uende😂😂😂. Ikanitolea nyonyo nikalitomasatomasa🤪🤪🤪 nikapita zangu.

Mbeya🙌🙌🙌🙌

.....................................................

Kuhusu wizi, mbeya changamoto kubwa ni malezi, unakuta jitu linamiaka 30+ lakini linaenda kula kwao.

Likikosa fedha linaenda kumuomba bi mkubwa wake na linapewa fresh kabisa. Haya malezi ya ovyo ndio yamezalisha vijana wa ovyo mbeya, vijana kazi yao kubwa ni kuvuta bangi na kufuga ndevu.

Ukiwa mbeya epuka vijana wa mtaani kujua ratiba zako, au kujua ndani kwako unamiliki Nini na Nini, Pia epuka kutoa fedha na kuweka fedha nyingi kwa wakala mmoja.

Yafanye maisha yako yawe binafsi sana, vijana wa mbeya sio waaminifu wengi huwa wanachoresha ramani, vikundi vikubwa vya wizi mbeya vimejiweka kama ni timu ya kucheza mpira lakini hao ndio wapiga matukio.

Tuwe makini, tujilinde na tuwalinde tunaowapenda.
 
mkuu we unaonekana mwenyeji sana Mbeya.

apo Mwailubi hunambii chochote kuhusu iyo Bar naikubali sana kuliko Bar yoyote apa Bongo ikifuatiwa na City Pub 😂
 
Mkuu hebu nikumbushe Mwailubi ni kile kibaa chenye gesti humohumo opposite na chuo cha st augustine nyuma kidogo ya Ks hospital ?
 
Back
Top Bottom