Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

Inaonekana Mbeya kuna wezi sana.. asubuhi nimeona clip mdada analia ameibiwa kila kitu sebleni. Chumbani godoro limebinuliwa mwizi sijui alikuwa anaangalia kama kuna kibubu 😹😹
Dada linapokuja suala la Wizi nahisi Mbeya inaongoza, nakumbuka kuna siku chumba cha jirani yangu waliibiwa nikiwa ndani wao walikua wametoka na mvua ilikua inanyesha mchana iyo. walivorudi wakaja kunigongea kuwa wameibiwa Laptop mbili na mwizi kaondoka na Mwamvuli so inaonekana Mwizi alikuja wakati mvua inanyesha na akaondoka ikiwa bado inanyesha 😂💔

yan matukio ya Wizi Mbeya ni mengi sana ya utapeli ndio usiseme. leo nmekumbuka hayo yangu ambayo kamwe sitokuja kuyasahau
 
mkuu nilipokua naishi ni dakika moja tu nipo kwa RPC, dakika 3 nipo mahakama kuu na Nyumba za jirani walikua wanaishi Askari ukisogea mbele kidogo alikua anaishi Mkuu wa Askari Upelelezi Mbeya licha ya ivo Mkuu wa Mkoa alikua anapenda sana kuja huo mtaa kwa mchepuko wake lakini ndo mtaa ulikua unaongoza kwa watu kusafishiwa nyumba
 
Naomba niwape Mbeya ushindi 😀😀😀😀
 
Maeneo kama hayo huwa na wezi sana. Wezi wanajua wakikamatwa sehemu kuna askari wengi hawawezi kuuawa.
 
Vyeti mpe mama akufichie dah unajiamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…