Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
- Thread starter
- #41
Kabisa mkuu Mbeya ni nomaaa, hapo ulipoenda ni Karagwe kuna mademu watamu sana.Mbeya ni namba moja sikupingi, nimetembea sehemu za wanyakyusa karibia zote kuanzia Kiwira, Kyimo, katumba,mwakaleli, tukuyu, ushirika, mpuguso mpk kyela ipinda, matema huko aisee hizo sehemu wamejaliwa makalio makubwa.
Niliwahi kwenda wilaya maoja huko kagera ni mpakani na Rwanda napo kuna matandamu alafu kiuno cha nyigu.