mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Moshi ni uongo ila Arusha ni sawa kwa sababu kuna mchanganyiko wa wahamiaji wengi wa makabila ya Wambulu/Wairaq,Wanyaturu/Wanyiramba wa Singida.Mh mbeya wamekomaa sana wanataka kufanana na wazambia, mademu wapo moshi, arusha , tanga , mwanza nimezunguka tanzania nzima huko ndio kidogo kuna quality