Hivi kuna mkoa wenye Madubwasha Makubwa kama Mbeya na Mtwara?

Mbali na vyote mi huwa naangalia upana wa mstari wa katikati... Kama umebana sana huyo demu ata akinitongoza sigeuki, lakin akiwa na ikweta nene iliyopana Daaaah!! Halafu akivaa dera linaingia katikati, yaan ni burudan sana
 
Pole una safar ndef ya kufika kanani
 
Duuuh wanateknolojia gani huko? Tupe somo mkuu
Wanatumia shanga, wanamtengeneza mtoto wa kike anakuwa na kiuno chembamba, tako linapanda juuu linakuwa laini lamoto kama jiko la mkaa.
 
Mbona mimi ni wa Mbeya lakini sio Dubwasha πŸ˜œπŸ˜…
 
Aawe huu sasa ni ubaguzi unataka mademu wa arusha, penmba wajiskiaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…