Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Humu kuna watu wanastahili SHIKAMOO! Mwaka 83 tayari unawajua MAMA LISHE... Unavuta Sigara...
Nna chumba changu Tena Cha ndani Kodi sh 60.
Enzi hizo hakuna chumba chenye choo ndani hata mama mwenye nyumba mnakutana uani.
Chumba Cha heshima kilikua Cha ndani, vya uani wanakaa watu wasio na pesa za uhakika na vijana wa mwenye nyumba.
 
Nenda China watakupa Ushahidi!!! Marafiki zake wote wanajihusisha na hiyo biashara , yeye atakosaje? SHOW ME YOUR FRIEND AND I WILL TELL YOU YOUR CHARACTER!!!
China mbali Kenya tu hapo ..mpaka gaazeti waliandika.. ..
 
mtaishi kwa kusifia ndio kazi zenu watanzania hamna lolote hata mkiibiwa mnasifia mkidhulumiwa mnasifia kutawala tanzania mbona rahisi sana mijitu nikusifia kubishana kumbe hata jid benz anaweza kuwa rais
sasa kama tunaibiwa kwa akili tusisifie ? kama hujui wizi upo duniani kote viongozi wanaiba sana hata tukilaani haitobadili kitu hapa
wazungu wanasema if you can't fight them,join them.kuna member hapo juu amesimulia kajenga maghorofa wakati wa JK kwa madili,unategemea naye alie lie hapa ?
 
Mavi yake yakikusanywa yapo nchi zaid ya 100

Mwenzangu na mie yote yanakusanywa tangu uzaliwe yapo Iringa labda tofauti ni wilaya ulizonyea
We jamaa ni mkuu-ndu-gu yangu kabisa.
 
Lowassa alifanya kazi kubwa kumuweka huyo dogo hapo alipo lakini akalipwa matusi.plus(kukatwa);
 
JK namkubali sana mshikaji wangu tumekula nae sana bata,sema jamaa anatembea na mguu wa bata masaa yote....jamaa yangu sana mambo ya uzee hana kabisa,nakubali uvaaji wake anatembea na fasheni miaka yote.
Duuuh kumbe mzee ni mafia eeh?
 
JK namkubali sana mshikaji wangu tumekula nae sana bata,sema jamaa anatembea na mguu wa bata masaa yote....jamaa yangu sana mambo ya uzee hana kabisa,nakubali uvaaji wake anatembea na fasheni miaka yote.
Unaonekana unauogopa sana huo mguu wa bata anaotembea nao. Wewe ulikuwa chawa wake?
 
Back
Top Bottom