Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Mavi yake yakikusanywa yapo nchi zaid ya 100
Mwenzangu na mie yote yanakusanywa tangu uzaliwe yapo Iringa labda tofauti ni wilaya ulizonyea
Mtu unaenda gengeni kununua nyanya moja! Hii nchi ni makini kinoma.
Hao wanaitwà MAMLUKI WA USSR Wana chuki sanaUsimsagie mzee wa watu kunguni! Naona jicho la husda kwa mbali hapa.
Dah alafu anaibuka mtu mmoja anasema binadamu wote ni sawa
Na vile tunatumia ID fake ukishashiba maharage unajikuta unamtukana mzazi wako bila kujua au kuponda single mother kumbe na wewe ni mtoto wa nje ya ndoa ahaaaaKwetu tambuka reli soko mjinga wanauza maharage yaliyopikwa bakuli mia mbili, na yashaungwa nazi kabisa
Unapika ugali usiku ukitoka kwny mihangaiko unamtuma Mtoto maharage ya mia mbili kwny bakuli siku imeisha
Ukishiba unaingia JF kwa miatano yako tu ya kifurushi kubishana Siasa za Katiba mpya
Sasahivi amerudi kwenye kazi yake yazamani kabla hajawa mkuu wa wilaya yakuuta viatu watu nalile kaliolake sijui itakuaje hukoMakonda
Uko sahihi kabisa mkuuNa sasa ni kama yupo madarakani nafikiri mzee ni $ bilionea sema amewekeza kwa waarabu na wahindi wamfanyie kazi
Na
Na Rais aliyepo anajiamini kwa Sababu ya ushwawishi wa kikwete ndani ya chama kwasababu anaogopeka sana na wanaccm
Kina makamba na kinana hawana ushwawishi wowote ni vile wameegemea kwa kikwete
Yana mwisho mkuu ipo sikuNa sasa ni kama yupo madarakani nafikiri mzee ni $ bilionea sema amewekeza kwa waarabu na wahindi wamfanyie kazi
Na
Na Rais aliyepo anajiamini kwa Sababu ya ushwawishi wa kikwete ndani ya chama kwasababu anaogopeka sana na wanaccm
Kina makamba na kinana hawana ushwawishi wowote ni vile wameegemea kwa kikwete
hakuna mtu alikula bata kama BASHITE. trust me.Kuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox
Fist yo get money
Then you get maza f....r power
Then maza f......r guys will respect you.
What you want in life
Money Power Respect
JK got it all
Jk hajui njaa ni mdudu gani
Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba
Jk kazunguka dunia nzima with power money and respect
Na bado anaonekana atakula hizi bata mpaka afikishe miaka 100
Ukijumlisha bata alizokula Jk hata ujumlishe marais wote tangu uhuru hawamfikii
Wanasema Jk bado unaongoza nchi gani sijui
Jk kana ni kweli mwambie mama atuachie yule DJ disco limepoa.
Mbona we ulivumilia kelele za muziki.
Inakuwaje wengine muziki uwe kelele.nadhani Mungu alikubariki sababu roho yako nyeupe huna nongwa na mtu.
God bless you Jk
Haters niueni
Na mimi naongeza tena kwa sauti kubwa HAKUNA, kala bata na anakula bata hata kumzidi MobutuSimsagii kunguni mkuu kwani kuna mtanzania gani kala bata zaidi yake
Bata ni subjective.....Hamnaga kipimo halisi.Simsagii kunguni mkuu kwani kuna mtanzania gani kala bata zaidi yake
Watu mna maneno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mavi yake yakikusanywa yapo nchi zaid ya 100
Mwenzangu na mie yote yanakusanywa tangu uzaliwe yapo Iringa labda tofauti ni wilaya ulizonyea