tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Sawa mkuuNenda dodoma bungeni ukaonane na mwanae jifanye unaomba kazi ya kuwa chawa wake.ila mwanae kauzu kuliko baba mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuNenda dodoma bungeni ukaonane na mwanae jifanye unaomba kazi ya kuwa chawa wake.ila mwanae kauzu kuliko baba mtu
Unaita tuhuma takati tuliona wenyewe TWIGA na wanyama pori wengine venga tu wakipakiwa kwenye ndege na kupelekwa Uarabuni!!!
Tuhuma huwa zinathibitishwa na Mahakama sio na Macho ya 'Wazalendo' kama Ww
Kabisa aisee sijui Mungu ampe nini ukimtukana anasmile tu anajua matusi hayaui
Hizo mahakama za kuthibitisha wizi wa hawa maccm ziko wapi? Ndio maana marehemu Karume kule Zanzibar alikuwa anasema " Ukimkama mwizi keba ni mwizi tu" hakuna haja ya mahakama kuthibitisha!!!
Unanikumbusha nilivyoishi Makorora Tanga miaka ya 83. Nilikua nasubiri Giza liingie ndio niende kwa mama ntilie kuchukua Maharage yakiyokwisha ungwa. Kisha nawasha mchina na kusonga chap. Ugali ukishaiva jiko linatolewa nje lipoe harufu Kisha navua Shati. Nikishamaliza kula nawasha sigara na kutoka kuvutia nje.Kwetu tambuka reli soko mjinga wanauza maharage yaliyopikwa bakuli mia mbili, na yashaungwa nazi kabisa
Unapika ugali usiku ukitoka kwny mihangaiko unamtuma Mtoto maharage ya mia mbili kwny bakuli siku imeisha
Ukishiba unaingia JF kwa miatano yako tu ya kifurushi kubishana Siasa za Katiba mpya
Yaani nimecheka kabla sijaingia kitandani mzee wewe balaa.Mavi yake yakikusanywa yapo nchi zaid ya 100
Mwenzangu na mie yote yanakusanywa tangu uzaliwe yapo Iringa labda tofauti ni wilaya ulizonyea
Yana mwisho mkuu ipo siku
Unanikumbusha nilivyoishi Makorora Tanga miaka ya 83. Nilikua nasubiri Giza liingie ndio niende kwa mama ntilie kuchukua Maharage yakiyokwisha ungwa. Kisha nawasha mchina na kusonga chap. Ugali ukishaiva jiko linatolewa nje lipoe harufu Kisha navua Shati. Nikishamaliza kula nawasha sigara na kutoka kuvutia nje.
Pengine matusi yetu ndio 'ubani' unaowasaidia kutoboa zaid
Halaf Roho huwa inauma sana mtu unaemchukia sana akiwa anafanikiwa kila siku
Halafu kuna vijitu usipounga Mkono Madai ya Katiba Mpya wanakuona fala kumbe hawajui neema mnazokula kupitia katiba MkwecheNakumbuka kipindi Cha mkapa mzee wangu aliweza kumiliki gar tatu kwa mpigo na wote tukasoma Private school
Kipindi Cha jkn akaacha mwenyewe nae broo akawa ndio ananza Kaz akitokea udsm lmv duh hatari Sana
Siwez sema yote ila kila tawala ina bahat zake
Akaja jpm dah broo ninae mfata katusua mbaya
Usiwaone wanatembea ukadhani wana Furaha; mioyoni mwao hawana amani kwani matendo yao yanawasuta!!
Aliutendea haki msemo wa kizuri kula na nduguyo. Kwa kweli acha tumsifu angali hai.Mbona unaongea as if kamaliza Kula hata,
Mwanadiplomasia ngwili kila siku yupo manje huko!
Mara anakunya kahawa na wataleban..
Mara Uswizi!
Jamani JK Mungu azidi kumbariki, mtoto Waziri, mke mbunge!
Yaani halafu Hana shombo Ka za Mkolomije!
Siyo yeye Tu hata watanzania walikula bata!
Umenichekesha sana. You've made my day.Mara nyingi wanaokula bata na kufaidi raha za viongozi ama matajiri huwa ni Wanawake zao na Watoto wao ambao hawajui stress za Madaraka au za kumiliki Mali nyingi
Kama Mwanasiasa na kama kiongozi huwa anapitia nyakati ngumu za stress, hisia za kusalitiwa na hata wakati mwingine nafsi inakusuta unapowafanyizia wanasiasa maadui zako ama kwa ku revenge au kuwadhibiti dhidi ya hila zao
Mzee Mkuu alikuwa anamalizia stress za uongozi kwa kupiga mitungi ya kirusi kwa kwenda mbele
Mwingine akawa anamalizia stress kwa kuongeza Ibada
Mwingine hisia zilikuwa zikizidi anachukua pipa na washkaji wake kwa jina la wafanyabiashara kwenda kula bata
Mwingine akawa anapanga watu barabarana 'wazuie' msafara wake anachamba, anafoka anatoa ya Moyoni nafsi inatulia
Kwa mawazo yangu anaekula bata zaid ni yule ambae hana muda wa kuwa na stress bila ya kujali ana kipato kiasi gani