Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Kwetu tambuka reli soko mjinga wanauza maharage yaliyopikwa bakuli mia mbili, na yashaungwa nazi kabisa

Unapika ugali usiku ukitoka kwny mihangaiko unamtuma Mtoto maharage ya mia mbili kwny bakuli siku imeisha

Ukishiba unaingia JF kwa miatano yako tu ya kifurushi kubishana Siasa za Katiba mpya
Mtu unaenda gengeni kununua nyanya moja! Hii nchi ni makini kinoma.
 
Na vile tunatumia ID fake ukishashiba maharage unajikuta unamtukana mzazi wako bila kujua au kuponda single mother kumbe na wewe ni mtoto wa nje ya ndoa ahaaaa
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Yana mwisho mkuu ipo siku
 
hakuna mtu alikula bata kama BASHITE. trust me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…