Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Maisha ya bata matamu sana. Kwa hili siwezi kumponda JK. Aendelee tu kula hilo bata mpaka siku yake ya kiama. Maana hakuna namna.

Bata batani🍻🥂🍾🍴👩‍❤️‍👨🥵

Kwanini mnamsingizia mkwere wa Watu? Maradhi aliyokuwa nayo siyo ya kumuezesha mtu kula bata!!! Anajikaza tu mambo sio kama mnavyoyaona.
 
Nani akuue wewe
Endelea kula Bata tu ila Kila kitu kina mwisho
 
Amekula bata kumzidi bashite? maana kwa maneno yake mwenyewe alidai hakuna anayekula raha hapa duniani kama yeye..........
 
Halafu anatoka mjinga mmoja anajitapa eti katika Wala raha duniani yeye ni namba moja
 
Babu yake aliwahi Akida wa Wajerumani, na walipoondoka wakaja waingereza akawa Hakimu kule Bagamoyo hadi miaka ya 1940s na mtoto wake akawa DC kule Same na Pangani miaka ya mwisho ya Uhuru na mwanzo ya Uhuru, 1965 chini ya Julius Nyerere akawa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba

Kwa hiyo Baba wa Babu alikuwa Akida na Hakimu

Babu akawa DC
Baba akawa Rais
Mtoto kawa Naibu Waziri

Jamaa hawajapoteza kijiti kuanzia 1880s

Labda mtoto ndio atoe boko
Bashite miaka sita tu chali, anajificha uvunguniJk kaanza bata akiwa tumboni nasikia mzee wake naye aliwahi kuwa DC kama bashite
 
Dah kuna watu wana bahati zao,hapo hujamuongelea mama mtu,first lady na mbunge
 
Huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Dr Kigwa!
 
Jakaya Mrisho Kilwete hamfikii Paul Christian Makonda,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuzaji qa ngada Umetokea Pakistan na America ya Kaskazini

Kuhusu Tuhuma za Ufisadi ukiacha Mwl Nyerere hakuna Rais ambae hakatuhumiwa kwa ufisadi
Unaita tuhuma wakati tuliona wenyewe TWIGA na wanyama pori wengine wengi tu wakipakiwa kwenye ndege na kupelekwa Uarabuni!!! Hakuna wakati wauza NGADA walishamiri kama wakati wa Kikwete ; mpaka hata wabunge wakawa wadau wa biashara hiyo!! Marehemu Amina Chifupa alipotishia kuwataja bungeni akapoteza uhai wake mysteriously!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…