Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Mavi yake yakikusanywa yapo nchi zaid ya 100

Mwenzangu na mie yote yanakusanywa tangu uzaliwe yapo Iringa labda tofauti ni wilaya ulizonyea
Hahahahaha,sio kwa kichambo hicho.JF NI RAHA SANA,NI STRESS REMOVER Wala sitoki
 
I think ni Marais wote iwe wastaafu au walio madarakani, pia hata Mawaziri na Wabunge tu hutembea na hicho kitu. Ni kawaida mno!
umesema kweli,mzee wangu hutembea na Ak 47 au bastola
 
Kuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox
Fist yo get money
Then you get maza f....r power
Then maza f......r guys will respect you.
What you want in life
Money Power Respect
JK got it all
Jk hajui njaa ni mdudu gani
Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba
Jk kazunguka dunia nzima with power money and respect
Na bado anaonekana atakula hizi bata mpaka afikishe miaka 100
Ukijumlisha bata alizokula Jk hata ujumlishe marais wote tangu uhuru hawamfikii
Wanasema Jk bado unaongoza nchi gani sijui
Jk kana ni kweli mwambie mama atuachie yule DJ disco limepoa.
Mbona we ulivumilia kelele za muziki.
Inakuwaje wengine muziki uwe kelele.nadhani Mungu alikubariki sababu roho yako nyeupe huna nongwa na mtu.
God bless you Jk
Dj tuwekee wimbo wa riziki uliopigwa na K bazil kusindikiza haters.
Haters niueni
Mdukuzi!

Hon. JK akila bata au hata kuku au hata Sungura wewe inakuhusu nini! Au wewe ni mama lishe?

Mwache muislam mwenzetu apumzike kwani kafanya makubwa sana kwa nchi hii.

Bravo JK.
 
Kwetu tambuka reli soko mjinga wanauza maharage yaliyopikwa bakuli mia mbili, na yashaungwa nazi kabisa

Unapika ugali usiku ukitoka kwny mihangaiko unamtuma Mtoto maharage ya mia mbili kwny bakuli siku imeisha

Ukishiba unaingia JF kwa miatano yako tu ya kifurushi kubishana Siasa za Katiba mpya
Akili za ccm
 
Mdukuzi!

Hon. JK akila bata au hata kuku au hata Sungura wewe inakuhusu nini! Au wewe ni mama lishe?

Mwache muislam mwenzetu apumzike kwani kafanya makubwa sana kwa nchi hii.

Bravo JK.
Ukisoma hii story ya JK alivyowainua wanawake kwenye agro business chain utafurahi.

He has the power of legacy that lives 👇

Screenshot_20220221-100134.png


Screenshot_20220221-100238.png
 
Back
Top Bottom