Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph.
Sasa watu kama hao dawa yao huwa naijua, ni kuwazalilisha tu, kiasi kama yuko na wenzake humo hadi aone aibu, ni kumwaibisha tu.
Kinachofanyika ni kumwacha apite kwanza na kiharrier chake cheupe, halafu unamwacha afike mbali kabisa tena akikamua at full throttle ili aone kwamba kakuweza, then akifika kama 50M ahead basi una mkamua mnyama at full throttle, 4 seconds nyingi anabaki kukutafuta umepitia wapi na uko wapi, stupid kabisa, na siku nyingine rudia tena, mnakera!
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani?? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo
Hivyo vi-Forrester huwa navidhalilisha daily, sasa sijui ni takataka ipi unayozungumzia..., hahahaha, ohujakutana na mimi labda..., i get insanely obsessed ukini-offend in any way..., the only way utaniweza ni kama utamaintain above 180kph throughout...
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani?? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo