Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph.

Sasa watu kama hao dawa yao huwa naijua, ni kuwazalilisha tu, kiasi kama yuko na wenzake humo hadi aone aibu, ni kumwaibisha tu.

Kinachofanyika ni kumwacha apite kwanza na kiharrier chake cheupe, halafu unamwacha afike mbali kabisa tena akikamua at full throttle ili aone kwamba kakuweza, then akifika kama 50M ahead basi una mkamua mnyama at full throttle, 4 seconds nyingi anabaki kukutafuta umepitia wapi na uko wapi, stupid kabisa, na siku nyingine rudia tena, mnakera!

5118FCF9-2084-445A-958F-70F78F8F345F.jpeg
8A773E0D-A761-48F3-BB31-35C51731FC47.jpeg
 
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani?? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vi-Forrester huwa navidhalilisha daily, sasa sijui ni takataka ipi unayozungumzia..., hahahaha, ohujakutana na mimi labda..., i get insanely obsessed ukini-offend in any way..., the only way utaniweza ni kama utamaintain above 180kph throughout...
 
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani?? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata subaru nayo takataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa mgeni wa magari mzee.. Tenga muda cku moja nikupe free ride na VOLKSWAGEN GOLF GTI.. 296 HP

Dash board yangu speed limit inasoma 280 kph.. Brevis yako inasoma ngapi mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What matters is who is behind the wheel...!

Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom