FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph.
Sasa watu kama hao dawa yao huwa naijua, ni kuwazalilisha tu, kiasi kama yuko na wenzake humo hadi aone aibu, ni kumwaibisha tu.
Kinachofanyika ni kumwacha apite kwanza na kiharrier chake cheupe, halafu unamwacha afike mbali kabisa tena akikamua at full throttle ili aone kwamba kakuweza, then akifika kama 50M ahead basi una mkamua mnyama at full throttle, 4 seconds nyingi anabaki kukutafuta umepitia wapi na uko wapi, stupid kabisa, na siku nyingine rudia tena, mnakera!