Bavaria,
Usidanganywe na dash ...kuna kitu inaitwa market technique. huwa wanaamin na wanajua kwamba zikiekwa gari mbili same hp but one with dash kubwa let say 220kph na ingine 180kph basi ile yenye 220 itauzika sana au kuonekana inakimbia kuliko ingine umesahau hp ziko sawa au inaeza kuwa ndogo...pili hatuangalii number of turbos...kuna nissan nama si vw pick up ako na twin turbo but si chochote kwa ford pick up au hilux pick up with 1GD ftv ....
Gari ni hp ziwepo za kutosha ...hata kuingia racing hawakuulizi uko na cc ngap bali hp ngap...hivo ungetupa technical specs za gari ya jamaa unaonekana unaijua sana