Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Bavaria,
Usidanganywe na dash ...kuna kitu inaitwa market technique. huwa wanaamin na wanajua kwamba zikiekwa gari mbili same hp but one with dash kubwa let say 220kph na ingine 180kph basi ile yenye 220 itauzika sana au kuonekana inakimbia kuliko ingine umesahau hp ziko sawa au inaeza kuwa ndogo...pili hatuangalii number of turbos...kuna nissan nama si vw pick up ako na twin turbo but si chochote kwa ford pick up au hilux pick up with 1GD ftv ....

Gari ni hp ziwepo za kutosha ...hata kuingia racing hawakuulizi uko na cc ngap bali hp ngap...hivo ungetupa technical specs za gari ya jamaa unaonekana unaijua sana
 
Huyo Dereva wa mark x ni mpumbavu namba moja duniani toka lini hicho kigari kinaweza kufanya ligi na nissan Navara,
Barabaran kuna shida Sana hasa wenye vigari vidogo

Maelezo ya hivi ni ya kumeza navara inakuja na engine zaidi ya tano iko hadi diesel yd25 kana 170hp ...hizo ni mdogo sana kwa mtu alieshika petrol tena sedan hata akiwa na hp hizo..sembuse marx x ambayo ni zaidi ya hapo...

Muwe mnauliza ni gari ipi na ipi zimeshindana afu kumshinda mtu wengine ni waoga ....ila gari unakuta linajiweza sasa we unamkta unakuja andika uzi humu
 
Tonny Miles Franklin,
Tumia akili ya kuzaliwa kidogo..hizo brevis ni za japan limit kule ni 180 hivo gari kwa soko la japan zote zinatoka na 180 dash ....unahisi gari lenye hp 200 plus linaweza ishia 180 ? Yan kwamba ndo mwsho ?? Kama wenye 120hp kina rav4 wanafika hapo? Toa limitation litazid na kupitiliza thou haliwez race na gari yenye hp above 300
 
Mkuu hapo kwa mnyama baru hafui dafu aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
@eminentia

Google TOYOTA SUPRA alafu kasome dash board speed meter inasoma ngap halafu uje utetee point yako ya (JAPAN GAR ZOTE ZINATOKA NA 180 DASH)

Sent using Samsung S6 Edge
 
Kwahiyo 180kph yenye 400hp ni inakimbia sana kuliko 240kph yenye 250hp? Assume wote wamemaliza kisahani.

Nipe elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila Subaru inamtesa Toyota.
Kama unaudhuria sprint rally huyo Subaru Forester pamoja na kuwa na turbo na tunning za kutosha bado anapigwa na Brevis ambayo ni stock.

Mkuu labda hiyo forester inatembelea piston mbili ....yan assume umechukua ile yenye 220hp stock afu ukaipa turning ya kutosha hata 80% ya orinal yake afu ichapwe na brevis yenye 220hp😁😁
 
Mkuu labda hiyo forester inatembelea piston mbili ....yan assume umechukua ile yenye 220hp stock afu ukaipa turning ya kutosha hata 80% ya orinal yake afu ichapwe na brevis yenye 220hp😁😁
Mkuu nazungumzia sprint za pale Tanganyika Packers kwenye rough road. Ambapo gari huzunguka lap 1 na atakaye tumia muda mfupi kuliko mwenzake ndio mshindi.

Kwa Drag race huwezi kumshindanisha Subaru Forester tunned na Brevis ambayo ni stock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…