Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Hii ni habari nyingine mkuu, hii uzao wa Subaru Impreza wrx sti na ni toleo la kisasa kuanzia 2014.Hii imetengenezwa special kwa mbio mwenzake ni Subaru VAB.mkuu vipi ile subaru gvb unaizungumziaje
Hii ni habari nyingine mkuu, hii uzao wa Subaru Impreza wrx sti na ni toleo la kisasa kuanzia 2014.Hii imetengenezwa special kwa mbio mwenzake ni Subaru VAB.
Hii inatakiwa ifanye ligi na Mitsubishi Evolution,Nissan Skyline GT-R na Toyota Supra.
Mkuu gari ya rally facelift sio ishu Sana, watengenezaji wanaboresha engine, stability, suspension, braking system, safety na transmission.Napendelea body ya imprezza wrx sti 2004 facelifted,2008 model kwenda juu hazivutii kabisa.
Naomba kadi ya mwaliko wa msiba msikose kunipa.
Mnachokitafuta mtakipata very soon nawambia
Unyonge huwa unaleta low self esteem, huwa siuwezi kabisaMe Nina Carina ED nawakaribisheni kwenye rally😃
Nimekupa mfano tu wa forester xt , wewe na ki brevis chako kashindane na kina verosa huko au markx ukija kwa wazungu utakaa mapema tu, yaani nipo na VW Toureg ulete ligi na mimi???wiki iliyopita nilikuwa naenda dodoma nilikuwa na Nissani navara jamaa wa markx akataka kuleta ligi nilicho mfanyia hatakaa asahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Nissan Navarra ya Petrol au Diesel?Nissan Navara, ni gari inayochanfanya haraka sana na inafika 180 km/ h kiulaini bila engine kulalamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Navarra ya kumzingua Brevis au Mark X labda ile Second Generation yenye engine yenye Supercharger VG33 na zipo chache Tanzania na tena dereva anayeikanyaga haswaa. Navarra itabebwa na engine ila body weight na aerodynamic itamtesa ndio maana nimesema impate dereva mtata.Nissan Navara, ni gari inayochanfanya haraka sana na inafika 180 km/ h kiulaini bila engine kulalamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari yeyote ambayo mshale wa RPM una red, sio gari ya mbio.. Angalia gari kama Range Rover.. Ule mshale wa RPM hauna red.. Yan unaweza ku rev mpaka mwisho bila kusababisha madhara kwenye engine.
Mkuu hatari sana burudani ya kibabe. Hao ni wasauzi wanafanya spinning za kutisha.
Umechanganyikiwa nini mzee?Hii brevis nimemuachia mke wangu. Gari ya kike sana.
Kweli aiseeHii brevis nimemuachia mke wangu. Gari ya kike sana.
Kweli aisee
FRANCIS DA DON,
Nawe uje ukutane na BMW gari ya Mgermany atakupita na usione aliko elekea na Ki Brevis chako
Kabisa aweke modelTuwekee hapa model ya hio Bmw tuilinganishe.